New Habari na kutowapa promotion wafanyakazi wao

Status
Not open for further replies.

kifaa

Member
Jul 9, 2010
14
0
Kwa naiaba ya wafanyakazi wote wa New Habari,nataka nitoe ushauri wa bure kwa CEO wetu kujivua gamba haraka iwezekanavyo kama alivyofanya boss wake aka bwana wake RA,kampuni imekushinda,imeshajieleza,sio rahisi kufanya promotion ya aina yoyote katika kampuni na ikafanikiwa bila kujali hali halisi ya wafanyakazi wako,miezi miwili inaisha haujatulipa mishahara yetu au New Habari mnasubiri mpaka wafanyakazi wafe ndo muwalipe pesa zao??achia ngazi kwa manufaa ya kampuni,tumekuchoka,waliosema we sio raia naungana nao mkono maana hakuna mtanzania mwenye roho mbaya kama wewe,hizo ni tabia za kisomali,,,
 
Sasa kama wewe ni mmoja wa wafanyakazi, haya mambo si myamalize hukohuko ofisini badala ya kuleta hapa. Nasikitika jamaa anaweza asione maoni yako hapa.
 
Mkumbe mlipokuwa mnakipigia kampeni CCM na magamba yake hamkujua kuwa hipo siku litazama mrifikiri ni mchana tu.Ndo mwisho wa New Habari Rostam ndo kaishatimka, nendeni UHURU CORP.
 
Sasa kama wewe ni mmoja wa wafanyakazi, haya mambo si myamalize hukohuko ofisini badala ya kuleta hapa. Nasikitika jamaa anaweza asione maoni yako hapa.

Hii inatusaidi sisi tulio nje na Habari Corp kujua ninikinaendelea huko.. asante mkuu kwa taarifa ile barua yangu ya application kuja huko nitaifuata posta....
 
Duuuuh kama ni hivyo hali ni ngumu sana, inabidi Bashe ajipange kuinusuru kampuni kwa kufuata misingi ya weledi na siyo ushabiki, siasa za mji taka ambazo hazina tija katika kampuni. Ajue hii ni lazima itachukua muda kudogo hadi hali kurejea katika hali ya kawaida maana wananchi wameshapoteza muelekeo wa magazeti vigeu geu leo yanaandika hivi kesho yamenunuliwa na wanasiasa kwa manufaa yao binafsi.
 
Hiyo imekula kwenu! nyie si ndiye munaoandika habari za kuisifia magamba kila kukicha?
Je mmeona yaliyomkuta bossi wenu RA? Maana magamba yalifanya umafia kwa Jenerali
ulimwengu....kuanzia kwenye uraia wake hadi kwenye biashara zake (na kweli wakafanikiwa)
Lakini waswahili usema malipo ni hapa hapa duniani. Leo hii RA kabaki na mipesa tu,lakini hana
heshima tena mbele ya jamii ya kitanzania....maana kavuliwa nguo mchana kweupeee na wale
aliyokuwa anawaona kama watu wazuri kwake kumbe ni wanyama na wanafiki wa siasa za bongo.

Ushauri wa bure kwangu - Msimchukie Hussein Bashe.....adui yenu mkubwa ni RA na magamba wenzake
 
Kama New Habari hawajalipwa, ya nini kulalamika? Take action! Kulalama si suluhisho la matatizo. Unalalamika af kila siku saa moja unusu asubuhi umeingia ofisini??? Ndiyo maana mishahara hailipwi coz mnaonekana bado mna uwezo wa ku-survive bila kulipwa. AMUA moja kubaki kimya au kuondoka na kusaka ajira nyingine.

Kuna maana gani kuendelea kuwamo ndani ya kapu la wadhumaji?
 
Sasa kama wewe ni mmoja wa wafanyakazi, haya mambo si myamalize hukohuko ofisini badala ya kuleta hapa. Nasikitika jamaa anaweza asione maoni yako hapa.

Tatozo lako nini Mwita25, mbona unataka kumnyamazisha jamaa, mwache aseme aone asione wewe haikuhusu! sisi wengine tutasoma na tunamwelewa na tutachangia, tungejuaje kwamba sasa nepi zao zinabana? Gamba limevuka sasa wanasikia baridi bado wewe!!!
 
Tatozo lako nini Mwita25, mbona unataka kumnyamazisha jamaa, mwache aseme aone asione wewe haikuhusu! sisi wengine tutasoma na tunamwelewa na tutachangia, tungejuaje kwamba sasa nepi zao zinabana? Gamba limevuka sasa wanasikia baridi bado wewe!!!

ahaaah! Una utani na hao jamaa.
 
wewe unasema ajivue gamba? wenzako majira hawajalipwa mwezi wa 5 sasa haswa wale wa mikoani na tayari wameanza kuwasiliana mikoani wagome kutuma habari kuanzia wiki ijayo. hapa iringa wamekuwa omba omba kwa watoa habari wao, unatarajia mtoa habari aandikwe vibaya? na ndiyo maana magazeti ya nje kama mwananchi yatatupiga bao kila kukicha.
 
Sasa kama wewe ni mmoja wa wafanyakazi, haya mambo si myamalize hukohuko ofisini badala ya kuleta hapa. Nasikitika jamaa anaweza asione maoni yako hapa.

hii ni jamii forum mwita hacha kutumia nguvu
habari zote zinafika
 
wewe unasema ajivue gamba? wenzako majira hawajalipwa mwezi wa 5 sasa haswa wale wa mikoani na tayari wameanza kuwasiliana mikoani wagome kutuma habari kuanzia wiki ijayo. hapa iringa wamekuwa omba omba kwa watoa habari wao, unatarajia mtoa habari aandikwe vibaya? na ndiyo maana magazeti ya nje kama mwananchi yatatupiga bao kila kukicha.
Miezi 5 bila mshahara! mfanyakazi anaishi vipi? hili siliamini.
 
Du Hatareeeeee,uzeni mitambo hiyo kila mtu achukue cha kwake!!!! Poleni ila nextime usijaribu ku-expose matatizo ya kampuni yenu kwenye social network ina effect kubwa sana biliv dat..
 
Ndugu yangu Munyukubantu tukutane pale Kimara baruti nikupe hata bia moja uondoe machingu ya kukosa mshahara
 
Hapa pamoja ya kwamba Bashe anasehemu yake ya lawama, lakini wanaochekesha ni hao wafanyakazi wa new habari wanaolalamika huku wakti mpaka leo hawana guts za kuuliza kinachoendelea, wamezoea kuabudu watu wenye vijisenti hata kama ni vibaraka kama wakina Bashe raia wa nje. hawa jamaa wa chombo hiki na kile cha majira wanastahili kufanyiwa vyovyote kwa ubwege wao, wamezoea hela zisizokua na maandishi kwa njia ile ile ya ufisadi waliyoizoea, hapo kila mtu anavutia kwake aktegemea kuna siku atadondoshewa donge nono kamavile fisi anavyofuata mkono wa mpita njia.

Hapo walipo hata mikutano ya kiutendaji wamashindwa kuifanya kwa sababu wahariri wakina Balile kama wabunge wa CCM badala ya kutetea watu wao, Hussein akiongea wanachangia ku support eti hawana mishahara kwa sababu hela kubwa imetumika kusafirisha watu kwenda kumzika Danny aliyekufa juzi wakati huu ni mwezi wa tatu hawana mishahara, kazi ni wakina manyerere kukimbizana na rushwa za ku character assassinate wakina adv mawala.

Hao waacheni wafe njaa sawa na wale wenzao wa majira kampuni iko busy kumsikiliza mtu wa kale Rashid na kuwaramba watoto wake huyo Emma ni kama kawambwa kila idara mkuu yeye wakati kichwani hamnazo, na ili wafanyakazi wakae niezi bila malipo ni lazima nao wanaibia hizo kampuni, pili hawauziki ndiio maana wamefikia hata kutukana na waajhiri kama wakina Bashe kwa kuwaambia watamlipa mke wa Danny mshahara hivi wataandika kwenye pay role gani? nao wafanyakazi wakapiga makofi kutamba kwamba kiampuni yao babu kubwa, hii yote ni sababu ya uandishi wa habari kuwa tasnia yenye kuajiri watu waliofeli sana shuleni na waongingia na pass mark ndogo kulio vyyuo vyote, uwezo wao na exposure ni zero ndio maana hawaelewi kiwamba Bashe hana namna yoyote halali ya kumlipa mkie wa Danny wala kuwasomesha watoto wake kwa sababu ni illegal kumlipa mtu asiyefanyakazi, njia pekee ingekua kumkatia bima ya maisha ambayo huwezi kumatia marehemu, basi walua mfuko wa pension ambapo Danny hakuwa ameandikishwa mnfuko wowote kwa hiyo malipo yake yoyote halali yaliishia siku ya mwisho ya pumzi yake.

Na wako wengi wamejazwa kwenye vyombo vya namna hiiyo mpaka leo hawana pension yoyote wakiendelea kupokea posho za mikononi huku wakishindana nani anapata zaidi, sijui hao walioenda kwa manji labda wao wanaunafuu lakini hawa tulionao huku kwetu ni takataka tupu leo hii tangu bosi nkubwa akimbie wamebaki macho pima kama wamebanwa na milango ndio maana huko nje hamuwasikii, ni kweli Husseni ana roho mbaya eti kamfukuza Tomas kwa sababu kasema kule juu kwao kuna pepo linalosababisha wasitulipe mishahara yetu, na mpaka sas ahakuna hata mtu mmoja aliyemtetea huyo Ben Mhina ndio kwanza katumia kifo cha Danny kujinufaisha hela za contingency kapewa 1m tumeenda nae mpaka huko hajatumia hata shilingi na hajarudisha, hii mijitu ndio maana imebana hapo ni wizi mtupi kwa kwenda mbele
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom