Mamushka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2010
- 1,595
- 99
Hacha? Acha?hii ni jamii forum mwita hacha kutumia nguvu
habari zote zinafika
Hacha? Acha?hii ni jamii forum mwita hacha kutumia nguvu
habari zote zinafika
Sorry ipo siku sio HIPO siku.Mkumbe mlipokuwa mnakipigia kampeni CCM na magamba yake hamkujua kuwa hipo siku litazama mrifikiri ni mchana tu.Ndo mwisho wa New Habari Rostam ndo kaishatimka, nendeni UHURU CORP.
Hacha? Acha?
Sorry ipo siku sio HIPO siku.
si ndo maana kakwambia wanakua ombaomba!!Miezi 5 bila mshahara! mfanyakazi anaishi vipi? hili siliamini.
Pole mwana New Habari mwenzangu mm ni correspondence.Kwa naiaba ya wafanyakazi wote wa New Habari,nataka nitoe ushauri wa bure kwa CEO wetu kujivua gamba haraka iwezekanavyo kama alivyofanya boss wake aka bwana wake RA,kampuni imekushinda,imeshajieleza,sio rahisi kufanya promotion ya aina yoyote katika kampuni na ikafanikiwa bila kujali hali halisi ya wafanyakazi wako,miezi miwili inaisha haujatulipa mishahara yetu au New Habari mnasubiri mpaka wafanyakazi wafe ndo muwalipe pesa zao??achia ngazi kwa manufaa ya kampuni,tumekuchoka,waliosema we sio raia naungana nao mkono maana hakuna mtanzania mwenye roho mbaya kama wewe,hizo ni tabia za kisomali,,,
Pole mwana New Habari mwenzangu mm ni correspondence
Nimefanya uchunguzi Pale New Habari si vizuri kufika hapa na Kupotosha wana Jamvi.Ni kweli hamjalipwa mshahara wa Mwezi wa Saba, Mshahara wa Mwezi wa Sita Correspondence wao wamelipwa na Baadhi ya wafanyakazi wamelipwa.
Bashe ametupokea kutoka boby tukiwa hatujalipwa mishahara ya kuanzia mwezi wa Sita mpaka Mwezi wa kumi na Moja.Huyu jamaa alipopokea kampuni amefanya mabadiliko Mengi sana kwanza ametulipa Nusu ya Madeni ya kuanzia mwezi wa sita mpaka mwezi wa kumi na moja.
Bashe amekua akitulipa mishahara bila matatizo,hali ngumu imejitokeza mwezi wa sita na wa saba lakini huyu jamaa unamtuhumu asilimia 80 ya waajiriwa hamfanyi kazi tunaoumia hapa ni sisi tunaoitwa Correspondance,bashe amejaribu kutaka kubadili tabia za watu,humu ndani mabosi wa chumba cha habari wanaingia kazini saa tano mnaingia mmelewa pombe,mnaaandika stori za mishiko kila jambo mpaka asimamie bashe ndio lifanyike.
Mimi kwa niaba ya wenzangu bashe anatulipa,bashe ni kiongozi ambae kampuni hii haijawahi kupata promotion anazofanya sasa ni kitu ambacho toka kampuni hii ianze haijawahi kuendeshwa kisasa,dogo huyu amepokea kampuni haina heshima katika mabenki toka enzi za kina jenerali ina madeni kila mahali amepokea haikopesheki leo inakopesheka.
Ili mlipwe nyie mlioajiriwa fanyeni kazi hata postmortem hakuna hakuna bosi anehuzulia hamfanyi kazi mmekalia majungu na kukaa chini ya miti.Bashe amekua akiwataka muandike kinachotakiwa na soko nyinyi wengine mnaenda kukutana na kina salva na watu wa ccm na kusema bashe hampendi kikwete anataka tuikosoe serekali sisi hatufanyi hivo kujipendekeza kwa kina salva na bado mnaandika utombo tukilete makala za kusomeka hazitoki mnataka awalipe kwa njia gani.
Bashe anafanya kazi kubwa kubadili huu mzoga wetu ambao haukua hata na heshima sokoni leo umeanza kubadili acheni majungu nyie waajiriwa hamfanyi kazi.