Kamependeza...
Kale kamsemo wanakosema hata ujilembe vp sisi tunatazama WOWOWO naisi kwa hapa sio sahihi kabisa[emoji123][emoji123][emoji123]
hakuna mwanamke mbaya duniani.we chukua yoyote muweke sawa huoneHuu ndio muonekano mpya wa Ebitoke akiwa amepakwa make up.
Toa maoni yako
![]()
Bikra yake bado ipo salama?
[emoji82] Kwenye simu lakini....Kweli hakuna mtu mbaya
Ufuta!!Ebitoke= ndizi
Ben Paulohakuna mwanamke mbaya duniani.we chukua yoyote muweke sawa huone
hakuna mwanamke mbaya duniani.we chukua yoyote muweke sawa huone
kama ben ni wa dar bado ipoBen alishaitatua kitambo tu.
asee iv ugomvi wa wanaume wa dar na mkoani utaisha lini huku jfkama ben ni wa dar bado ipo