Upo sahihi. Nadhani ni takwimu tu zilizotolewa na wataalamu wao, coz binafsi nilikaa miaka 3 na sikuona tatizo lolote!Hiyo namba 7 kama ni kweli basi ina maana wakaazi wa New Delhi wote wana kansa?!
Namba 9 upo sahihi kabisa,India madereva wengi wanaendesha Magari huku wanapiga honi hovyo tu! Niliwahi kumuuliza Muhindi mmoja "kwanini mnapiga honi hovyo?" Akanijibu hata yeye hajui!! Amezaliwa nae amekuta tu hiyo tabia ipo!!
Namba 10 hizo Bajaj miji mingi India wanaziita "Rikshoo"
Kingine ambacho mgeni atapata tabu ni jinsi ya kupata chakula ambacho hakijatiwa pilipili!! Muhindi hata ukimwambia "usiweke pilipili" lazima ataweka tu coz ya mazowea yao,
Ila wahindi wengi wanatilia sana mkazo masomi,wengi wako bussy kuitafuta elimu,pia ni watu wenye "Akili" sana na ni wepesi wa kuelewa jambo.
calcutta ndo km wap vile mkuu mbn umekupa sifa sanaUkifika Calcutta, umefika India. Ukifika New Delhi, umeimaliza India.
Sent from my HTC Desire 820G PLUS dual sim using JamiiForums mobile app
Usajili unafanyika kona baa afrika sana. Wakifika india ni full helaNa ukifika Mtanzania mwenzao anakupa kisela, sema usimgande!
Kweli kabisa. Mi Nilichoka ktk brand za simu zao tuIndia ukiingia maduka yao ya mitaani,mengi yamejaa bidhaa zao tu/local product,tena zimeandikwa na bei yake/Price tag toka kiwandani,mfano ukitaka kununu Sabuni inakua imeshaandikwa bei kabisa toka kiwandani.
Ni sawa na tshs ngap??Inauzwa 13000 - 13500 Indian Rupees tu!
Sent from my HTC Desire 820G PLUS dual sim using JamiiForums mobile app
Hahahahaaaa, mkuu umenichekesha sana aisee! JF ni kisima cha furaha aisee! Wachache watakaoelewa kwa nini hesabu yako ya kuvuta sigara itakuletea sigara 2.Kiwanja bei gani nina kila sababu za kuishi huko na sababu ya mwisho ni kuwa mi navita sigara 12 kwa siku nikiishi huko inamaana nitanunua 2 tu
Hapo kwenye papuchi ndio wamenikera maana nina kqmpeni ya kuzunguka maeneo mbalimbali ya duniq na kuonja papuchi zao espaecial asian -japenga ,chinese ,indians ,malaysian yhan watu wa mashariki ya mbali with exception of arabs(i had had enough of them in tz).Nimependa namba 13, swali vipi kuhusu TZ yetu? Ni yupi rahisi kupata Papuchi Muhindi au Mtu mweusi? Na kwa nini?
Ndio New Delhi hiyo Mkuu! Na fasta anakuomba mpige selfie!
Nilijua zina mita mwenyeji wangu mwafrika alipogombana na dereva. Yeye anajua safari haizidi 6km lakini tulikuwa tushatembea km 8. Ujanja wa kuongeza safari apate hela zaidi. Tulivyofika tulikokuwa tunaenda tukalipa nauli ya kuzidishiwa. Malalamishi ya kiingereza kwa kihindi hayakuzaa matunda.Sina uhakika. Ila binafsi tulikuwa tunalipa kwa reference ya vituo, na nauli zake kama kama Tanzania tu, japo wakikuona mgeni wanaropoka bei!
Daaah. Poleni. Shida nyingine ndio hiyo. Wahindi wezi wezi sana!Nilijua zina mita mwenyeji wangu mwafrika alipogombana na dereva. Yeye anajua safari haizidi 6km lakini tulikuwa tushatembea km 8. Ujanja wa kuongeza safari apate hela zaidi. Tulivyofika tulikokuwa tunaenda tukalipa nauli ya kuzidishiwa. Malalamishi ya kiingereza kwa kihindi hayakuzaa matunda.
Hapo umeshangaa KUSAIDIWA ama SELFIE?