OK..basi ungeishi kidogo uwajuwe.kwanza nyumba ya muhindi ni marufuku kuchinja...ukitaka kuchinja uchinje sokoni..ukichinja unafukuzwa siku hiyo hiyo.....Na FRIDAY ni siku maalum kwa mashoga yanapita mitaani yanaomba sadaka..kila duka uliyaona?MAAJABU mengine ng'ombe JIKE ni MUNGU...ila ng,ombe DUME ndy kama FUSO ZAO...anabebeshwa mzigo zaidi ya PICK UP..Mara nyingi nishashuhudia ng,ombe anaanguka na kufa huku akiwa na tani za mzigo....ushafika tajmahal mkuu?Hapana. Mi nimeenda 2010.
Mkuu uko vizuri aisee.....YE TUM KHAA BOLTA HEE.?.mnasemaje nyie?wakajibu YE HINDI SAMASTAHEE?... maana unaelewa KIHINDI? nikawajibu ME FIRST CLASS HINDI boltahee....tena nikawatolea dola nikawaambiya..YE DEKHO KITNA PESA HEE MERI PASS..maana yake angalia nina pesa kiasi gani ?..ME CHOOR NEHIHUU..Mimi sio mwizi...nikiwatukana sana KIHINDI na wale watanzania wenzangu walishangaa sana tu kuona naongea KIHINDI namna ile..tena wahindi wengi wa hapa bongo wanaongea GUJERATI..sio HINDI......
1999 hawajuwi English.. Wahindi wa kule....inabidi uende shule ndy ujuwe English... Na shule ZAO ni KIHINDI tu...tushakutana nao sana kwny ndege wanaomba msaada wa kujaziwa zile forms za immigration kabla ya kutua Dubai...wanakuomba msaada ujaze...ujanja wa bongo tu..tena mm mwenyewe nimerudi unajuwa sn KIHINDI now nimesahau kiasi
Yaa mkuu..ukiwafata kwao... Utawadharau sana mkuu...tena walikuwa kama umeishi kwao ni heshima na adabu..now nipo madagasca mkuu...nitakupa na visa vyao..tembea uone mkuuHata mimi ilinikuta hii mwaka juzi. Tulikuwa kama limebaki lisaa hivi tutue Kuala Lumpur (Malaysia)....wadada niliokaa nao walikuwa wanaongea kihindi huku wakitabasamu wenyewe kwa wenyewe na kuniangalia. Mimi kwa nyege zangu nilihisi wamedata kwangu, nikauchuna ili wajigonge nami niopoe maana nilikuwa nakaa pale Malaysia kwa siku 3, so kama ningepata mchemsho wa kihindi ingekuwa poa kwa hizo siku 3. Nilipomaliza kujaza zile forms za immigration, naona mdada mmoja anakuja huku akitabasamu na kuongea kihindi kwangu akiomba nimsaidie kujaza zile forms. Alikuwa hajuwi English nami nilikuwa sijuwi kihindi, tukasaidiana tu hivyo hivyo na nyege zangu zikaishia hapo.
Wakijuwa kama umeishi kwao India.. watakuheshimu mkuu..ushaona barabara zinafungwa usiku na watu wanalala?yote India yapo hayoYaa mkuu..ukiwafata kwao... Utawadharau sana mkuu...tena walikuwa kama umeishi kwao ni heshima na adabu..now nipo madagasca mkuu...nitakupa na visa vyao..tembea uone mkuu
Waingereza waliicha serikali Kolkata (sema tu Karakata) lakini wahindi wenyewe wakahamisha makao kwenda New Delhi! Wengi wanachanganya, NEW DELHI na DELHI ni vitu viwili tofauti, Delhi ipo ndani ya New Delhi, kiufupi Delhi ni eneo ndani ya New Delhi na New Delhi ndio makao makuu ya India.
View attachment 468845
- Kwa wataalamu wa Mipango-miji, maeeneo mengi ya New Delhi yalipangwa na Muingereza mtaalamu wa Mipango-miji: aitwae Edwin Lutyens na kwa heshima yake, New Delhi pia huitwa Lutyens Delhi.
- Eneo la viwanda lijulikanalo kama Delhi – Mumbai Corridor, ambalo ujenzi wake haujakamilika, litaja kuwa mradi mkubwa wa miundombinu duniani huku ukiwa ndani yake na Majiji 24, Mitambo ya nishati 2, viwanja vya ndege 6, viwanda 23, Bandari 2 na Barabara ya njia 6 ya urefu wa Km 1500. Wachambuzi wanasema, mradi huu ni kama vile wahindi wamedesa idea ya mradi kama huo ujulikanao kama Tokyo-Osaka industrial corridor wa Japan.
- Katika utafiti uliofanywa na Global Metro Bench NOVA na CoMET, usafiri wa umma (Mwendokasi) ujulikanao kama Delhi Metro (Mabasi na Treni. Kwa upande wa Mabasi ya Delhi Metro, ndio mfano halisi wa UDART yetu, kuanzia muundo mpaka rangi, cha tofauti ni kuwa, wao hawana Vituo na bara bara maalum kama sisi DSM) ndio mtandao wa usafiri wa pili kwa ukubwa duniani. Usiniulize kuhusu Mwendokasi wetu. Treni, lina mabehewa kwa ajili ya wanawake tu, mara nyingi ni mabehewa matatu ya mwisho, na pia wanawake wanaruhusiwa kugombania na kuingia mabehewa ya abiria wote, wake kwa waume. Marufuku mwanaume kuingia behewa la wanawake!
- Uwanja wa ndege wa Indira Gandhi International Airport (IGIA) ni wa 4 kwa ubora duniani mpaka kufikia 2010, na wahindi wanaamini kwa sasa, uwanja huo ndio wa kwanza kwa ubora!
- Kwa idadi ya watu, New Delhi ina watu wanaokadiriwa kuwa zaidi ya 18m na hii inaufanya mji huu kuwa namba 6 kwa idadi ya watu!
- May mwaka 2014, New Delhi ulitajwa na (WHO) kuwa ndio Jiji lenye hewa chafu zaidi duniani.
- Kama huvuti sigara wala bangi, na ukawa unaishi New Delhi, uwepo wako pale ni sawa na kuvuta sigara 10 kwa siku, wanasema hii ni sawa na kupata kansa ndani ya mwezi mmoja! Kama unavuta piga hesabu mwenyewe!
- Msongamano wa Magari ndani ya New Delhi ni sawa sawa na msongamano wa Magari katika jiji la London nchini Uingereza! Kama Tanzania, New Delhi madereva wanaendesha wakiwa upande wa Kulia wa gari!
- Haijathibitika rasmi, lakini ukae ukijua New Delhi, madereva wanapenda kupiga honi za gari kupitiliza, karibia gari zote zimebandikwa sticker kwa nyuma HORN PLEASE! New Delhi pekeake ina Magari 7m mpaka kufikia 2014!
- Tanzania wanaita BAJAJ, kule New Delhi zinaitwa Autos. Na zipo nyingi sana, na nyingi zina rangi ya kijani na njano! Huenda wanatuenzi wa Tanzania!
- Wakazi wa New Delhi wanaitwa Delhite. Na wengi wao hawajui English. Wanapenda na ni wepesi kuwasaidia wageni kuwapa maelekezo, japokuwa wana uhakika hawaelewani lugha na pia hawaelewi anachosema mgeni.
- Ni ngumu kupata papuchi India, na hasa ukiwa mgeni, na hali ni mbaya zaidi ukiwa Mweusi. Mtaa maarufu kwa biashara ya papuchi Jijini New Delhi ni GB Road, cha kushangaza zaidi, madada poa wa mtaa huu wanakaba, wanaiba na kupora chocote alichokuja nacho mteja kuanzia, hela, simu, wallet, mikufu n.k.
Police wanalijua vizuri eneo hili, na mara nyingi huvamia na kusomba kila waliemkuta hapo! Inakadiriwa kuwa, GB (Garstin Barstion) Rd ina machangu 10,000+ (zaidi ya elfu 10).- Wanyama Mbwa na Ng'ombe wanaongoza kuzagaa mitaani, tena mitaa iliyo busy na yenye watu wengi kama vile Msimbazi kwa Kariakoo. Mara nyingi Ng'ombe huzurura pasi na mmiliki kuwepo. Mgeni anahitaji kuwa makini ili kuulizia wapi Nyama ya Ng'ombe inauzwa la sivyo unaweza kuingia matatani! Ng'ombe ni sehemu ya imani ktk ibada zao na kuna maeneo strictly sio tu haiuzwi, hata kuulizia ni mwiko!
- Kama unataka ustaarabu, baki na Tanzania yako, New Delhi kuna maeneo ustaarabu ni 0. New Delhi ni rahisi kabisa Dereva kupark gari pembeni na kuanza kukojoa ktk barabara iliyo busy mf Morogoro rd yetu. Hii inatokea mchana kweupeee! Kwa kifupi wahindi ni wachafu kwa maeneo mengi!
- Ahsante sana Lucknow Univ. Tembea uone! Soma uelimike!
Safi sana
Yaa wale English wanasoma kama sisi watanzania....na hata hao wahindi wenyewe kwa wenyewe pia lugha hawaelewani....ili waelewane inabidi waongee GUJERATI...ndiyo lugha yao ya KUWAKUTANISHA.. kama sisi tunavyoongea bongo KISWAHILI... kuna wasukuma..wanyamwezi.wachaga...wadigo... MAKABILA KIBAO... Na kila kabila na lugha Yake kwa hiyo inabidi tuongee KISWAHILI ndy tuelewane..basi hata hao WAHINDI...wapo makabila zaidi ya 100 na yote yana lugha ZAO..mfano Tamil..na Hindu ndy makabila makubwa ambayo yana hadi BRODCAST ZA LUGHA ZAO.MFANO TV..NA RADIO...na hata MOVIES ZAO..hizo picha tunazoziona sn za akina AMITABACHAN..na akina sharukan ni from Bollywood.. Na kama ushawachunguza wahindi wapo tofauti hata rangi na tamaduni ZAO..mfano..wale wahindi weusi waliopo ktk chuo cha st Joseph of engineering ni wa kutoka BANGALORE..ambao wanaongea Tamil..sio Hindu na wanakuwa WEUSI..tii..na ajabu hata hao weusi ukikutana nao PIA wanakucheka..India yote kwa ujumla ilikuwa inaitwa HINDUSTAN maana yake UHINDINIWengi wao hata waliosoma kingereza bado ni shida, pia wengi wana inferiority complex hasa wanapokutana na mtu ambae ni mgeni hasa maofisini.
Yaa mkuu..ukiwafata kwao... Utawadharau sana mkuu...tena walikuwa kama umeishi kwao ni heshima na adabu..now nipo madagasca mkuu...nitakupa na visa vyao..tembea uone mkuu
Taj Mahal.OK..basi ungeishi kidogo uwajuwe.kwanza nyumba ya muhindi ni marufuku kuchinja...ukitaka kuchinja uchinje sokoni..ukichinja unafukuzwa siku hiyo hiyo.....Na FRIDAY ni siku maalum kwa mashoga yanapita mitaani yanaomba sadaka..kila duka uliyaona?MAAJABU mengine ng'ombe JIKE ni MUNGU...ila ng,ombe DUME ndy kama FUSO ZAO...anabebeshwa mzigo zaidi ya PICK UP..Mara nyingi nishashuhudia ng,ombe anaanguka na kufa huku akiwa na tani za mzigo....ushafika tajmahal mkuu?
Scholarship imetiki nini? Joking. Ethiopia Airline. Etihad Airways. Emirates. Wastani 15hrs.Wakuu, inachukua muda gani kusafiri kwa ndege hadi Chandigarh, India?
Nauli yake shs. ngapi? Ndege zipi zinaenda huko?
Kuna ubaguzi mkubwa huko?
Yah Mkuu.Scholarship imetiki nini? Joking. Ethiopia Airline. Etihad Airways. Emirates. Wastani 15hrs.
Nimepata hiiView attachment 474538
Mtoa mada akiwa ktk picha ya pamoja na Mh Balozi wa India ktk kilele cha sherehe za ITEC DSM 23 February 2017