New Delhi: Tembea ujionee

Wahindi wachafu sana sijapata kuona ila wakija kwetu wanatuzibia pua.
Kuna jamaa angu walimzibia pua alipanda nao kwenye lift wakimanisha jamaa alivyokuja kunieleza nikamwambia ningekuwa mimi ningewatemea mate yaani ninyanyasike na nchi ni yangu.
 
Noted
 
mkuu nitajie mitaa hata mitano tu ya omba omba na michafu India ili mhindi akiingia kwenye 18 zangu namtajia ili ajione ni hovyo kabisa
Kwa mitaa sina kumbukumbu vizuri, lakini ombaomba wapo sana maeneo yenye mikusanyiko mikubwa ya watu, mf masoko yao kama KAROL BAG, PALIKA BAZAAR, NEHRU PLACE yamejaa ombaomba na pia omba omba hujiweka sana jirani na Malls mf PACIFIC MALL ktk mtaa wa SAIBABAD, pia ktk vituo vya treni - METRO STATIONS mf VAISHALI.

Kingine cha tofauti, ombaomba wa DSM % kubwa wanaomba sana hela, ombaomba wa New Delhi anaweza kukuomba hata unachokula.
 
Wahindi wachafu sana sijapata kuona ila wakija kwetu wanatuzibia pua.
Kuna jamaa angu walimzibia pua alipanda nao kwenye lift wakimanisha jamaa alivyokuja kunieleza nikamwambia ningekuwa mimi ningewatemea mate yaani ninyanyasike na nchi ni yangu.
Kila ofisi ya India kuna ndoo ya kutemea KUBELI..na PARIKI..wachafu sijaona..na pia wengi ni GANDU MKUU
 
mkuu nitajie mitaa hata mitano tu ya omba omba na michafu India ili mhindi akiingia kwenye 18 zangu namtajia ili ajione ni hovyo kabisa
Mtajie hata marol marosh, na anderi east na andheri west kwa bombey
 
Nasikia ni wabaguzi sana, kuna ripoti ya binti wa kiTanzania kupigwa na kuvuliwa nguo hadharani.
Sitaki kuhukumu kwa ile ripoti na kufanya nao kazi. Je Kuna ukweli juu ya hilo? Kama ndiyo, uliwezaje kuhimili maisha ya huko kukiwa na ubaguzi kama huo?
Ninekuwa india kwa mda kidogo. Ila si wabaguzi kama tunavyowafikiria. Japo ubaguzi upo
 
Ninekuwa india kwa mda kidogo. Ila si wabaguzi kama tunavyowafikiria. Japo ubaguzi upo
Mkuu wewe umekaa India sehemu gani?kaa nao PAHAR GANJ.. Huko Karol bagh...kaa nao uswahilini mkuu...utajuwa tu
 
Nikiri tu huu ni moja ya nyuzi ambazo nimeenjoy sana kuufuatilia. Yaani imekuwa kama natazama movie, na kiukweli nimechukia sana kufika mwisho wake. Nilitamanai angalau ungekuwa na page japo 20 hv
 
Actually sisi walikuwa wanatuheshimu sana. Na tulikuwa na ulinzi mzuri tu sababu tuliitwa na comonwealth hivyo tulikuwa tunaishi kama watalii hivi.
 
Indian women look so beautiful and attractive when young, but they tend to age terribly
Ukipewa mhindi mzee unaweza hata kukimbia dadeki
Ni saa kumi kasoro usiku usingizi umekata....nimesoma hii comment yako nimecheka...sana....! Dah! Eti unaweza kumpigia deki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…