Njaa Kali na umaskini ni janga kubwa Kwa ma slay queen maana walimbia shule, wanaamini kutembea na diamond ni sifa na ni nadra kuwakuta watoto wa kishua wanaliwa hovyo, kwanza Wana exposure kubwa, hawana njaa ka Hawa wakibomgo wanategemea mbususu kuishiTatizo kubwa ni njaa tu za watoto wa kibongo...kutoridhika na hali ya maisha na ile hali ya kuwa ukiliwa uta trend sijui huwa watoto wa kike munawaza ule umaarufu na upepo wa pesa uko sexually transmitted[emoji2956]
Ila miaka yote huwezi sikia kawala watoto wa ma Don iwe wa kibongo ama wa kihindi ama wakina bhakressa au wajukuu zake kama kweli yeye ni bolo yanki[emoji28]!
Njaa za hela na umaarufu ndio zinawapeleka watoto wa kibantu kibla sijaona sababu ingine ya maaana. Unashangaa mtu anakula dada na mdogo mtu[emoji28] rafiki na shosti yake na wala hawajali!
Mkwe mkwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kabisaa!huyu@Mzigua ni full package kuanzia head to toe!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mguu wake tu unaweza ukakopea mkopo benki
Ova
Mkwe yani mi nakwambia mambo mazuri kule pembeni kumbe huku unanimaliza daahNa hips ,plus hukoo nyuma!!ila wimbo wa inspekta ,mtoto kajazia jazia,kafungashia shia!ndo yeye sasa
Nitaanza kuringa mkwe usinisifie sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mzuri huyu Dada sio siri!Mimi namuambiaga daily tena ni mwamke mwenziwe miyee!!!
@Shunie hichi kipilipili changu naweza tembea bila wig kweli? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Wamemdanganya MrangiHajajichezea ngz,hn cha mawigi
Akilala akimka ni yule yule [emoji23][emoji23][emoji23]
Msambwnd tena anaoooo
Ova
Kipilipili ndch chenyewe😂😂@Shunie hichi kipilipili changu naweza tembea bila wig kweli? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Wamemdanganya Mrangi
Kimnana midomo inamuangusha...mikubwa, minene ila mzuri[emoji1][emoji1][emoji1]hahahahah!Donna kaenda kujiweka buttocks!!!Missa kaenda kuweka pia !naskia aunt nae kaenda kufanya sajari mmesahau ya nini!!!!
Wadada wanahangaika sana na miili!!Kwa lishepu limkanana lizuri haswaa!sura naona ya kawaida sana!!
Hahahahahaha [emoji38][emoji1787]A go dai mabeeebe[emoji1787]
Uwoya na lulu nakubali...ila mobero hapana angekuwa mtamuu asingefichwaa kama dawa za Arv[emoji849][emoji849][emoji16][emoji16]Weee!yule wa mbagala na tmk kiuno nyigu yule Dada!mondi mwenyewe anasalute anaifinyiaaaa!wadada watamu bongo kwa mujibu wa mabazazi wa mjini,Uwoya,Lulu,Missa ,ukiingia huchomoki mpk manusura ya Mungu..majini wale wanadai wenyewe kwa bed eti![emoji1][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]!!!
Masikin mpaka akajikata intestines ili awe kipotabo Domo amrudie[emoji26][emoji26][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2]hana kitu kwioo!imebaki storyyy tuu!!
Anampenda mwenyewe maskini!
Hahahaha kino tena...hiyo mitaa kwanza naiogopaaa[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ujue nakufananishaga [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]na shosti angu mmoja ivi ..!!!ana mikato ya kiswazi sana!tunaelewana sana ila sio wewe!!! Yaani story zako km yeye....!!!anaishi Kino clan!
Mange ndo kiboko yao!Lakin mange ana ubuyu hot ngoja atulie tu web na app zikae sawa
Sasa wewe unaona nani anamuingia pale?Hahahahaaa... Kimnana mzuri bwana Sema kusema mzuri kuliko mademu wote wa Mondi mimi sijakubali.
Full package hiyo vipi tena jamani?
Sasa OE anapost nini [emoji134][emoji134][emoji849]...huwa nahisi na kichwa chake kidogo nati zimelegea saa nyingine haeleweki kabisa...East hawezi mfikia mange jamani jata afanyeje
Kweli mwaya. Uzuri wa mtu uko kwa mtuSasa wewe unaona nani anamuingia pale?
Hao wote wana masurgery except her
Anyway kila mtu na macho yake!
#kataawahuniMkwe yani mi nakwambia mambo mazuri kule pembeni kumbe huku unanimaliza daah
Wewe kwako ni nani mzuri kwa mademu wa Domo?Mweeee. Kweli uzuri uko machoni kwa mtu. Mi namuona wa kawaida tu labda picha zake ndo nzuri ila pia bado hajazidi wanawake wengi tu wa domo
Eeeh tumchangie kidogo ...dada kafanya kazi kubwa yule kwenye hii nchi hata mama la mama anajua[emoji1787]Mi napenda kweli umbea wake. Da Mange hadi umbea anataka tulipie kweli? Yani tukalipie dhambi ya kusengenya sidhani
Weakest part of her😅 ila overall ni msupu!Kimnana midomo inamuangusha...mikubwa, minenr ila mzuri
Shangazi anataka kuwa kama rubii, anataka kuwa mdogo mdogo waendane na kusah[emoji38][emoji38][emoji1787]
Ila mademu wa kibongo jau sana aagh[emoji848][emoji38]