Hyo siri ya kambi!yawezekana kabisaa

Ila mziki wa bongo ukiwa binti inabidi utoe sana mbunye,maana Nandera alikua na jasiri,kabla akina mwasiti wote kushine kule mwanzoni walikua wanaliwa, Ray C mpk aligombana na Zama, Jide ndo enzi hizo it was history walienda south wakalala room moja jasiri na jide habari zikafika bongo!!!

Queen alikuwa anadate na mzee wa yoo!
Zuchura nae kaona bora ajiongeze la sivyo atachunda buree!
Hii nchi ngumu sana
 
Trust me hii ni kiki, diamond ana mapungufu mengi ila kwa kuchagua wanawake wenye sura nzuri na shape hajambo.

Zuchu sura hana ,shape hana hapana hii ni kiki diamond kaipanga.

Hamonise ka trend sana, sasa kaona atafute kiki aongelewe.

Kuna mtu anakubali ukweli huu?
kama inakuja hivi halafu inakataa
 
Ni Nassib Abdul tena almaarufu kama Diamond Platnunz, zee la kubadilisha flavor.
Toto Mama Sandra, zee ka kutumia fursa.
 
Ila mapenzi ya mtu na bosi wake kunakuwa na uzembe mkubwa Sana kwenye kazi..Niliwahi kumiliki saluni ya kike nikaingiwa na tamaa na mfanyakazi niliyemweka asimamie saluni,kumbe nae alikuwa ananitegeshea mbususu yake ili afanye saluni ndy tobo la kutokea

Kilichofuata ni hasara Kwa kwenda mbele,kila siku analalamika Hana hela ya Kula namwambia chukua ya saluni..kilichofuata baada ya miezi sita nilifilisika.Mpaka leo nimebakiwa na mataulo tu ya kutosha ghetto km kumbukumbu

Never intertain a servant
 
Yaani nimecheka mpaka nimekaa chini hapa hapa sokoni aisee!!
 
Ila mapenzi ya mtu na bosi wake kunakuwa na uzembe mkubwa Sana kwenye kazi..Niliwahi kumiliki saluni ya kike nikaingiwa na tamaa na mfanyakazi niliyemweka asimamie saluni,kumbe nae alikuwa ananitegeshea mbususu yake ili afanye saluni ndy tobo la kutokea

Kilichofuata ni hasara Kwa kwenda mbele,kila siku analalamika Hana hela ya Kula namwambia chukua ya saluni..kilichofuata baada ya miezi sita nilifilisika.Mpaka leo nimebakiwa na mataulo tu ya kutosha ghetto km kumbukumbu
Haaaaa Haaaaa 😂 jamani umenichekesha mimi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom