CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Aisee, vimesikika vigelegele mana naona umewashinda wote. Kweli wewe charming lady
Umeona eeeh... Mie ndio charming mwenyewe wengine fuotokopi......... :A S-confused1: :A S-confused1:
Aisee, vimesikika vigelegele mana naona umewashinda wote. Kweli wewe charming lady
Nitajidaije maana nitakuwa peke yangu, kuna raha yake kuolewa na mwanaume asiyejua kutongozatatizo langu sijui kutongoza,hebu nikubalie tu usinitese mwenzio
hapo ndo patamu hebu uwe wangu mazima maana alichokiunganisha Mungu binadamu hataweza kutenganishaNitajidaije maana nitakuwa peke yangu, kuna raha yake kuolewa na mwanaume asiyejua kutongoza
ndo hivyo ushampata. kazi ni kwako. mengine nawaachieni wewe na Excellent mumalizane wenyewe. mtakapo taka ushauri niambieni nitawasaidia. miaInawezekana akawa ni bikra eee! hii ni bingo hii kupata mwanaume bikira kwa dunia hii y doti com!
aiseee nashukuru sana figganigga sasa tutamalizana wenyewe,utakuwa mshengando hivyo ushampata. kazi ni kwako. mengine nawaachieni wewe na Excellent mumalizane wenyewe. mtakapo taka ushauri niambieni nitawasaidia. mia
Eti Judgement, naomba unisaidie kama ni kweli huyu mtu hajawahi kutongoza maana eti anasema hajui kutongoza, isije kuwa anajipigia debe tu, peleleza kimykimya halafu unipe report

Maneno yako yameniingia sawasawa, ndo maana Excellent amekuchagua kuwa mshenga hajakosea hata kidogo unastahili, nimekusikia mshenga, ngoja nimtafute my huby to be niongee nae, ukimuona mwambie namtafutamapenzi ni yawawili watatu mbea. ukiwa na swali muulize Excellent mwenyewe. mapenzi sio ugonjwa hadi uombe ushauri kwa mtu. ukitaka ndoa yako isidumu sikiliza maneno ya watu. mia
Nimekuitikia, ngoja nikupelelezee mafaili yake ya previously.
Kisha nikurejeshee report.
Excellent umeona hapa? Issue yako imetundikwa rehani kwangu!