Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
Unajifariji eeh...
Okey....!
Unajifariji eeh...
Its not fictious...! Or a world of imaginations..!
Muda wa ?
Madaraka yepi ndugu yangu?
Hebu sibiri hapa niko kwenye Ndyofu ya 87, kesho nitakupigia simu, Only if tomorrow comes.
Nasikia harufu ya ndoa hapa, lakini kama vibinti vinamkimbia si kuna walakini hapo? kabla ya yote hebu mchunguze kwanzahuyu miss wa kinyaru atakubali kuwa na wewe lakini chonde chonde nakuomba usije kumuacha njia panda. mimi na huyu binti ni damudamu so isihofu utampata. muhimu ni nyie wenyewe kuoganise mipango ya harusi. mia
huyu Excellent sio kwamba videmu vinamkimbia hapana bali hajui kutongoza sababu hajazoea hayo mambo. kwake wanawake ni kitu kigeni so naomba umuingize ukubwani kijana wetu. miaNasikia harufu ya ndoa hapa, lakini kama vibinti vinamkimbia si kuna walakini hapo? kabla ya yote hebu mchunguze kwanza
Inawezekana akawa ni bikra eee! hii ni bingo hii kupata mwanaume bikira kwa dunia hii y doti com!huyu Excellent sio kwamba videmu vinamkimbia hapana bali hajui kutongoza sababu hajazoea hayo mambo. kwake wanawake ni kitu kigeni so naomba umuingize ukubwani kijana wetu. mia
tatizo langu sijui kutongoza,hebu nikubalie tu usinitese mwenzioInawezekana akawa ni bikra eee! hii ni bingo hii kupata mwanaume bikira kwa dunia hii y doti com!
Wafuatao :-
YNNAH (my beloved wife )
Arabela
Heaven on earth farkhina
King'asti
ummu kulthum
Chocs
Lady doctor
Elizabeth Dominic
Preta
Asnam
Fixed Point
KOKUTONA
sweetlady
Paloma
Mamndenyi
dena amis
charminglady
@lara1
mimi49
mwallu
amu
The secretary
Zion Daughter
Zinduna
Amyner
AshaDii
Passion Lady
miss wa kinyaru
gfsonwin
mimisa
Lisa
madame x
Mama v
Madame B
BADILI TABIA
Avemaria
kipipi
Nivea
ladyfurahia
DEMBA
snowhite
measkron
Smile
Roulette
Mwa J
marejesho
Lily Flower
Kongosho
cacico
Kijino
afrodenzi
Asulo
Kaunga
beibe nasty
Blaki Womani
Anita Baby
AmKATRINA
Andbird 314
Android
faiza foxy
jane 000
farkhina
Na wengine ambao wote .
Hapa mnaombwa malori matatu yaliyosheheni pomoni VIGEREGERE tu.
Kuwanyima maharusi wetu nderemo tutakudhania u'mchawi wa ndoa hii .
Lililililiiiiiiiiiiiiiiiiiilililiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii LililililiiiiiiiiiiiiiiiiiilililiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiLililililiiiiiiiiiiiiiiiiiilililiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiLililililiiiiiiiiiiiiiiiiiilililiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiLililililiiiiiiiiiiiiiiiiiilililiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiLililililiiiiiiiiiiiiiiiiiilililiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Lililililiiiiiiiiiiiiiiiiiilililiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii LililililiiiiiiiiiiiiiiiiiilililiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiLililililiiiiiiiiiiiiiiiiiilililiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiLililililiiiiiiiiiiiiiiiiiilililiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiLililililiiiiiiiiiiiiiiiiiilililiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiLililililiiiiiiiiiiiiiiiiiilililiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Nasikia harufu ya ndoa hapa, lakini kama vibinti vinamkimbia si kuna walakini hapo? kabla ya yote hebu mchunguze kwanza
cousin, hiki kigeregere hujazimia kweli? Yaani umepiga vigeregere hadi ukalia lol!