New couple! Announcement to all noticeboards !

naona zali live

Sijaelewa hapa Excellent unaneno lipi , isemwapo kua wewe u'bikira wa kiume!
Mi staki kuamini eti kwamba hujawahi chuja minafaka ever since being born! So far Mkuu fanya uipangue hiyo kauli ya dada wa kinyaru.
 
Last edited by a moderator:

acha hizo bhana unataka kunirushia ndege wangu

Nakurushiaje? Na macros ya kukusogezea ndege tunduni zimetoka kwangu! Ndege keshajaa mazima demani ! Sio wewe na Kipa! Ni wewe na kamba!
Kipa keshadondo!
Afu upige mnazi!
 
Sijaelewa hapa Excellent unaneno lipi , isemwapo kua wewe u'bikira wa kiume!
Mi staki kuamini eti kwamba hujawahi chuja minafaka ever since being born! So far Mkuu fanya uipangue hiyo kauli ya dada wa kinyaru.
Eti Judgement, naomba unisaidie kama ni kweli huyu mtu hajawahi kutongoza maana eti anasema hajui kutongoza, isije kuwa anajipigia debe tu, peleleza kimykimya halafu unipe report
 
Nimekuitikia, ngoja nikupelelezee mafaili yake ya previously.
Kisha nikurejeshee report.
Excellent umeona hapa? Issue yako imetundikwa rehani kwangu!
 
Last edited by a moderator:
Eti Judgement, naomba unisaidie kama ni kweli huyu mtu hajawahi kutongoza maana eti anasema hajui kutongoza, isije kuwa anajipigia debe tu, peleleza kimykimya halafu unipe report

mapenzi ni yawawili watatu mbea. ukiwa na swali muulize Excellent mwenyewe. mapenzi sio ugonjwa hadi uombe ushauri kwa mtu. ukitaka ndoa yako isidumu sikiliza maneno ya watu. mia
 
Last edited by a moderator:
mapenzi ni yawawili watatu mbea. ukiwa na swali muulize Excellent mwenyewe. mapenzi sio ugonjwa hadi uombe ushauri kwa mtu. ukitaka ndoa yako isidumu sikiliza maneno ya watu. mia
Maneno yako yameniingia sawasawa, ndo maana Excellent amekuchagua kuwa mshenga hajakosea hata kidogo unastahili, nimekusikia mshenga, ngoja nimtafute my huby to be niongee nae, ukimuona mwambie namtafuta
 
Excellent uko wapi nianze uchunguzi !
Utakoma kuringa! Kwanza M'pesa yako ina shiing'ngapi?
 
Last edited by a moderator:
Nimekuitikia, ngoja nikupelelezee mafaili yake ya previously.
Kisha nikurejeshee report.
Excellent umeona hapa? Issue yako imetundikwa rehani kwangu!

Mkuu karibu hm wkend, ndo Tumetoka honeymoon AN Hajambo anakusalimu sana,
 
Last edited by a moderator:
Mbona huyo bi harusi haonekani?
Au ndo km Mama v ?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom