New couple! Announcement to all noticeboards !

New couple! Announcement to all noticeboards !

Tunakuandalia sherehe ya kustaafu na kazawadi.

Kustaafishwa kunauma though!

COPY Mwenyekiti Erickb52 Judgement Mamndenyi Lady doctor King'asti Mtambuzi Mwali Filipo charminglady Rock City Kaizer DEMBA PakaJimmy ummu kulthum Smile ODM Asprin Heaven on earth mwallu BADILI TABIA The secretary Bishanga mshana jr Angel Nylon et al, habari ndio hiyo!!!!

Received with respect.
Mkuu Arushaone ukiwa km rais wetu nakupa go ahead kuchagua waandaaji wa hiyo sherehe ya kumuaga Baba V
 
Last edited by a moderator:
mi naomba niwafunde maharusi
jamani ndoa si lelemama mkavumuliane kwenye shida na raha.sio leo tunapiga vigelegele hapa kesho muanze vikao vya kusuluhisha aaaaah
kubwa mtuletee tutasuluhisha lakini dogo mlimalize wenyewe.

Kuna usalama kweli kati yako na Kaizer!?
 
Last edited by a moderator:
Mbona yale mapinduzi nasikia hayakufanikiwa?
Hizo zilikuwa kauli za Baba V ila hakuna kilichokwama!
Mapinduzi yalifanikiwa ila Baba V amekuwa akipayuka kuwa yeye bado ni mwenyekiti ila sio kweli.
Ni maneno ya mkosaji!
Hatuhangaiki kurushiana maneno...sisi tunajipanga kwa kazi nzuri....sio kufanya kazi kama yeye...yan hakuna mikakati wala malengo..! ili mradi panakucha tu ebooooooo!

Cc Arushaone Excellent
 
Baba V achastep down sema bado anajidai ni mwenyekiti,hata kina mtela walipofukuzwa chadema bado walikuwa wanajifanya wanachama
 
Last edited by a moderator:
Jamani naombeni siri ya kukamata mundwele humu Jf maana mi sielewi ujue? Ghafla naskia flani na flani ni couple, tupeni basi mbinu za mchezo nasisi tuingie kwenye ligi hiyo? Haya mambo yanatupita sana wazee wa jukwaa la Tech
 
ukiona juhudi zako binafsi zimeshindwa toa ripoti kwa mwenyekiti (ila sina uhakika kama ni Erickb52 au Baba V ) ili akuweke kwenye waiting list. wakitokea seekers kama wewe anaku connect
 
Last edited by a moderator:
Judgement futa kauli ya kuwa Baba V ni muhusika....
Kwa taarifa tu.... Baba v is no longer our chairman na badala yake mimi mdogo wako ndiye muhusika yaan ndiye Mwenyekiti wa Mahusiano humu jukwaani!

Cc Arushaone Filipo na wadau wote

Iko hivi , hapa wanao owana ni watu!
Taasisi as taasisi haiwezi kumdunga mwanamke mimba!
Haioi ! Na haijui hata ramani ya paja na michorochoro (michirizi) yake imekaaje!
Tukitacho sie ni ndoa!
Na sio Mwkt nani!
That's y palewekwa loophole kua Taasisi itakayojitambua iko na mandate isijali .
Mkisajili wote sie shwari !
Akisajili mmoja ahlan- wa-salahan!
Mapinduzi yenu ya kugombea vyeo ni yenu!
Ligi yenu na Baba V isihusishe nyu kopo kubabaika.
Vijana wanatakiwa waone wakainenepeshe dunia !
Be serious na pipo zilizodedi recently! Meli Lampedusa imekula abt 500!
Wastegatemall abt 200 and somethin!.
So far haitakiwi gozigozi currently due kuijaza dunia.
 
Last edited by a moderator:
ukiona juhudi zako binafsi zimeshindwa toa ripoti kwa mwenyekiti (ila sina uhakika kama ni Erickb52 au Baba V ) ili akuweke kwenye waiting list. wakitokea seekers kama wewe anaku connect

Ombi lake limefika na nalifanyia kazi mimi na kamati yangu
 
Last edited by a moderator:
Hizo zilikuwa kauli za Baba V ila hakuna kilichokwama!
Mapinduzi yalifanikiwa ila Baba V amekuwa akipayuka kuwa yeye bado ni mwenyekiti ila sio kweli.
Ni maneno ya mkosaji!
Hatuhangaiki kurushiana maneno...sisi tunajipanga kwa kazi nzuri....sio kufanya kazi kama yeye...yan hakuna mikakati wala malengo..! ili mradi panakucha tu ebooooooo!

Cc Arushaone Excellent

Kauli hii nimeisaini na kuipiga muhuri.
 
Judgement futa kauli ya kuwa Baba V ni muhusika....
Kwa taarifa tu.... Baba v is no longer our chairman na badala yake mimi mdogo wako ndiye muhusika yaan ndiye Mwenyekiti wa Mahusiano humu jukwaani!

Cc Arushaone Filipo na wadau wote

Huyo braza Judgement kwani naye muda wake haujaexpaya kweli? Ebu cheki yale makabrasha yake hapo ofisini...!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom