unapenda mnuso lol
Nilikuwa napekua pekua dikshenari mkuu,si unajua lugha za watu hizi!
Noted and accepted, then Filed.
Any legal obstruction allowed !
Nilikuwa napekua pekua dikshenari mkuu,si unajua lugha za watu hizi!
hata hilo kubwa walimalize wenyewe
hahahaaa......... Wii mnuso muhimu lol!
this is not formal........
hongereni sana
Usiishie tu kutoa hongera kwa wenzio, na wewe ingia kunako taasisi ya ndoa..
What is your suggestion my baby ??? anything to say.. BTW I miss you:busu
halafu hujanipa ile storii
Baba V nimeshakutafuta kwenye Sredi kama mbili , naacha swali , lakini naona unapishana na hizo Sredi .
Shortly nataka kujua ilikuakuaje Uzi wako wa jana wa kupachika mtu uvimbe , ukayeyuka jamvini ktk mazingira tata?
watu wazima kuitana bebi(watoto) inahuu.....
Wafuatao :-
YNNAH (my beloved wife )
Arabela
Heaven on earth
King'asti
ummu kulthum
Chocs
Lady doctor
Elizabeth Dominic
Preta
Asnam
Fixed Point
KOKUTONA
sweetlady
Paloma
Mamndenyi
dena amis
charminglady
@lara1
mimi49
mwallu
amu
The secretary
Zion Daughter
Zinduna
Amyner
AshaDii
Passion Lady
miss wa kinyaru
gfsonwin
mimisa
Lisa
madame x
Mama v
Madame B
BADILI TABIA
Avemaria
kipipi
Nivea
ladyfurahia
DEMBA
snowhite
measkron
Smile
Roulette
Mwa J
marejesho
Lily Flower
Kongosho
cacico
Kijino
afrodenzi
Asulo
Kaunga
beibe nasty
Blaki Womani
Anita Baby
AmKATRINA
Andbird 314
Android
faiza foxy
jane 000
Na wengine ambao wote .
Hapa mnaombwa malori matatu yaliyosheheni pomoni VIGEREGERE tu.
Kuwanyima maharusi wetu nderemo tutakudhania u'mchawi wa ndoa hii .
Mkuu nilikujibu kwenye ule uzi ulioniuliza swali, In short hapa ndani kuna watu wanapenda KULA ila hawataki kabisa KULIWA, na ukithubutu kuwala wanaku report kwa braza ABUSE, All in all it's chit chat and life goes on...