kichenchele
JF-Expert Member
- Jun 28, 2010
- 539
- 177
unaandika kwa kutumia makalio, na unawaza kwa kutumia nn? this is nonsense
Wanataaluma wakatoliki wanaweza kutoa shule nzuri zaidi.
Maana hasa ya kubadili majina ina maana ya kuaga hali ya zamani na kuivaa mpya kama Tumbili leo ungekuwa hujabatizwa kwa mapokeo ya kanisa uko na nafasi ya kuchagua jina jipya kutoka majina mengi ya wakristo wa zamani waliotangazwa watakatifu ambao unataka kufuata na kuiga matendo yao katika maisha yako na kuona kama ni mfano na kielelezo cha maisha mapya unayoyaanza ya ukatoliki.
Si mapapa tu, mashirika ya kitawa ya kikatoliki mengi yana utaratibu huo, baada ya kipindi cha kutazamwa (aspirants and postulants) wanapoingia kwanye malezi ya maisha yenyewe (novice) huchagua majina mapya ambayo watayatumiwa wakiwa wanashirika, na source ya majina ni kutoka wakristo ambao wametangazwa watakatifu kama wasimamizi na mifano ya kuigwa katika maisha yao ya kikristo.
Papa mpya kimapokeo huchagua jina mojawapo la mapapa waliomtangulia kuiga mfano wa maisha yake, utendaji wake ingawa si yote aliyofanya huyo mtangulizi wake katika kiti cha kitume atayafuata, ila binafsi anaona ni kielelezo chenye kumfunza katika maisha na utendaji wake.
cc. FirstLady1
Mkuu kwa maana hiyo kuna Papa alikuwa akiitwa Francis na huyu wa sasa anaitwa Francis I? Kwa nini yule wa kwanza ambaye huyu amechukua jina lake asingeitwa Francis I na huyu kuwa Francis wa II?
watu walitarajia pope kutoka itali,ambako ndo chimbuko la ukatoliki!lkn imekuwa tofauti!
Hii inathibitisha kuwa papa ni big ishu,kama sivyo kusingekua na mjadala huu!
Hii inathibitisha kuwa papa ni big ishu,kama sivyo kusingekua na mjadala huu!
Yapi hayasemeki hadharani, yatawashindeni!!
......