Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
Hiyo picha ni uchakachuaji mtupu (photoshop) kwa kuunganisha vipande vitatu yaani picha ya pope, watu na hiyo bendera)! Mambo ya digitali hayo!
Hili nalo linastahili kuwa kwenye jukwaa hili?...upuuzi mtupu... tunahitaji serious politics hapa....
Mh! Ya kweli hayo? Picha hii haijachakachuliwa? Waitaliano na wajerumani waache tu gumbendera gwa mwafrika gunakaribia Pope?
Mwajua aliyeweka habari hii yupo kwa nini msiniulize niwape ukweli, sasa hizo picha zaidi ya tatu zinazoonyesha bendera ya Tanzania bado Illustrated Photoshop Art Work? Mimi sina tabia hiyo, ni ukweli tu, na waliofikiria hivyo angalieni hizo taswiras nyingine mpate picha. Pope ni wa dunia nzima na mataifa mbalimbali yaliwakilisha. Angalieni kielelezo kingine cha idadi ya Wakatoliki duniani.
Sasa mada inaanza kueleweka baada ya idadi ya picha kuongezwa; tunataka ueledi siyo kutuletea taarifa reja reja.
Mashehe wakiipata hii picha mihadhara kila siku thnls God wengi ni vilaza JF hawaji
Niliiona bendera ya Tanzania kwenye moja ya taarifa za CNN kuhusu misa ya Jana.
Kwanini shekhe Ilunga asiende Vatican aue mapadri na makadinali wengi badala ya kumwandama pengo mwenyewe hapa?Mashehe wakiipata hii picha mihadhara kila siku thnls God wengi ni vilaza JF hawaji
Wataanza kulia lia mfumo kristo
Mashehe wakiipata hii picha mihadhara kila siku thnls God wengi ni vilaza JF hawaji