New Catholic Pope: Cardinal Jorge Mario Bergoglio

New Catholic Pope: Cardinal Jorge Mario Bergoglio

kwani we unajua Mama yako aliolewa na Baba yako akiwa ana miaka mingapi?Na unajua kabla ya hapo alikuwa na mwanaume gani?

Halafu hajaelewa...Ni Pope ndo alikuwa na umri wa miaka 12....Alikuwa na mawazo ya kitoto kabla sauti ya Mungu haijamjia na kumwambia awe Mchungaji wa kondoo wake...
 
Kwamantiki hiyo tutegemee ipo siku kanisa litaongozwa na SHOGA mstaafu. Yani jitu lina kua shoga weeee! dipoje linaona bola liingie kuitangaza injili than linakabidhia wadhfa wa popo.

Ni kweli kabisa dada yangu,lakini kumbuka kanisa halina nafasi kwa matohashi,ndiyo maana mtu mpaka aje kuukwaa ukasisi ni lazima apitie intensive probation.
 
muuombeni dua asiyarudie hayo mambo yasiyofaa!

atayarudia tu,,,,,,
chezea mbunye bwana?????
Bora wameandika mwananchi,wangeandika an-nuru heheheeeee,
DAH PAPA BAUNSA WA BAR,CASINO,NYT CLUB,SO SHAME,HUYU NI PAPA WA WALEVI NA WAZINZI,nani kasema ukimtumikia mungu HUOI?
 
Halafu hajaelewa...Ni Pope ndo alikuwa na umri wa miaka 12....Alikuwa na mawazo ya kitoto kabla sauti ya Mungu haijamjia na kumwambia awe Mchungaji wa kondoo wake...

sauti ya mungu?ushawah kuiskia ww???NGOJA PAPA AJAYE ATAKUA SHOGA MSTAAFU
 
Kwamantiki hiyo tutegemee ipo siku kanisa litaongozwa na SHOGA mstaafu. Yani jitu lina kua shoga weeee! dipoje linaona bola liingie kuitangaza injili than linakabidhia wadhfa wa popo.

Hivi kwa nini kimewauma sasa kwa huyu baba kuwa Pope.Mnajifanya mnakemea maovu kumbe kinawakereketa.
Mungu si mwanadamu..Anasamehe dhambi na kutakasa kabisa..Hata wewe tubu dhambi zako utakaswe kwa damu ya Yesu uwe kiumbe kipya..
 
Haya Mambo hayana ajabu!Huyu Papa ni binadamu kama wengine,tena amekuwa kama watoto wengine...tena ktk mitaa ya vurugu,uhuni na ujambazi...kukua katikati ya mitaa ya Bueno Aires pale Argentina na bado ukawa Papa ni changamoto kiimani!Hiyo ni mitaa ya unga,bangi na kila uhalifu....Ndo mitaa aliyokulia Carlos Tevez yule wa Man City!na ameahidi kufunga goli kwa Zawadi ya Pope.....Pale kuna mtaa unaitwa "21-24"...ni grad slums zenye maskin wa kutupwa zaidi ya 450,000!!....Mwanamke mwenyewe anaitwa AMALIA..Na amenukuliwa akisema "When we were Young,he wrote me a letter and I didn't reply to him as I onced had beaten by my father because of him,I have nothing to hide as it was a thing btn Children and totaly childish".....Sasa huyu ndo Mtongozwaji mwenyewe!wapo wanaotaka kuaminisha hili swala kivingine.....Na Papa Francis akamwambia AMALIA "If I Cant marry You,I will opt for Priesthood".....Na ndivyo alivofanya....Lakini kuna waandishi ima kwa kupotosha nukuu au kwa kutaka kuuza gazeti wanataka kukuza hii habari
 
Wapo wanaodai huyu Papa ataruhusu utoaji mimba,mara ataruhusu ushoga...huyu ni mhafidhina...kwa wasiojua huyu ni Jesuit Fathers!kati ya mashirika madhubuti ya Kanisa Katoliki...ktk Msimamo wake wa kutoa Mimba..Pope Francis aliwahi kusema "A Pregnant Woman is not carrying a toothbrush in her womb or a tumour,Science shows us that the entire genetic code is present from the moment of conception,it is not therefore religious issue,but scientific based morality"....Huu ndo msimamo wa Pope Francis....The Bishop of Rome,The Vicar of Christ and The Head of the Holy Sea!!...Wakurupukaji watamdhania kwa mengi sana yaliyo mabaya
 
Kwanza hakuna Binadamu mkamilifu, kabla ya kumnyooshea mwenzio kidole jiangalie nafsi yako,.maisha aliyoshi, kutaka kuoa, kuwa baunsa hata kucheza music ni ya kibinadamu na kumbuka hayo aliyafanya alikuwa sio Mkleri au Pontiff, Jambo jingine mungu huwa anaibua watu wake kwa namna za ajabu sana, Kumbuka habari ya Mt.Paul wakati akiitwa Saulo alivowatesa na kuwaua wakristu na kulihangaisha kanisa la mwanzo lakini Yesu alimuita akamfanya chombo chake Paulo ndio ameandika Nyaraka nyingi mno akifafanua mafundisho ya Kristu na alikufa shahidi huko Roma,..Tumuombee aliongoze kanisa hili na kulifikisha mbinguni!
 
hata hayo machache mie sjayaona ujue...huyu mleta mada nitamtafutia kazi kwa Shigongo
 
Wapo wanaodai huyu Papa ataruhusu utoaji mimba,mara ataruhusu ushoga...huyu ni mhafidhina...kwa wasiojua huyu ni Jesuit Fathers!kati ya mashirika madhubuti ya Kanisa Katoliki...ktk Msimamo wake wa kutoa Mimba..Pope Francis aliwahi kusema "A Pregnant Woman is not carrying a toothbrush in her womb or a tumour,Science shows us that the entire genetic code is present from the moment of conception,it is not therefore religious issue,but scientific based morality"....Huu ndo msimamo wa Pope Francis....The Bishop of Rome,The Vicar of Christ and The Head of the Holy Sea!!...Wakurupukaji watamdhania kwa mengi sana yaliyo mabaya
Na mara nyingi wakati akiwa kardinali wa Bueno Aires amekwaruzana sana na rais wa Argentina akipinga sheria ya kuruhusu utoaji mimba na ndoa za jinsia moja!
 
Ninavyowajua mabaunsa, mh!:

Wanapenda pombe za bure/offer,
wanapenda videmu vidogodogo,
ugomvi ukitokea ndo wa kwanza kuingia mifukoni kwa wateja kujipatia riziki,
n.k n.k n.k

huenda papa hizi sifa alikua nazo? Zikawa tabia? Akaendelea kuwa nazo hadi sasa?

Kumbe ulipokuwa bouncer kwenye ile baa yangu hizi ndio zilikuwa tabia zako?? bora nilikufukuza!!!
 
Papa alicheza mduara !

Nilijua watu kama nyinyi huwa hamkosi kwenye thread hizi, kwanza nyie mnaombeza kweli akili mnazo au vichwa vyenu vimejaa tui la nazi . Huyu jamaa alifanya kazi hizo ili ajisomeshe, na kweli malengo yake yalitimia.Kuna watu humu wanabwabwaja tu huku hata elimu ya secondary hawana na bado wanawalalamikia wazazi wao kuwa hawakuwasomesha.
 
Back
Top Bottom