New Catholic Pope: Cardinal Jorge Mario Bergoglio

New Catholic Pope: Cardinal Jorge Mario Bergoglio

Kipi kina value: kuanza vizuri au kumaliza vizuri? Paul alikuwa muuaji mzuri lkn mwisho wake ulikuwaje? Yuda alikuwa mwanafunzi wa Jesus mwisho wake akamsaliti, mtume Mohamed (S.W) kabla kufikisha 45yrs aliisheje? Kipi kipya kwa Papa? Tena yeye alifanya hayo akiwa na miaka 12
 
Papa Francis: Maisha yake yaibua mengi

ico_plus.png
Share
ico_bookmark.png
bookmark
ico_print.png
Print
ico_email.png
Email Rating

papa.jpg

Na Florence Majani,mwananchi

Enzi ya ujana wake aliwahi kufanya kazi mbalimbali ikiwamo ya mlinzi wa mlangoni (baunsa) katika Bar, ili kujipatia fedha.

Papa Francis I aliteuliwa hivi karibuni kuliongoza kanisa hilo baada ya Papa Benedict XVI kutangaza kujiuzulu kwa sababu za kiafya.

Enzi ya ujana wake aliwahi kufanya kazi mbalimbali ikiwamo ya mlinzi wa mlangoni (baunsa) katika Bar, ili kujipatia fedha.

Papa Francis aliteuliwa hivi karibuni kuliongoza kanisa hilo baada ya Papa Benedict XVI kutangaza kujiuzulu kwa sababu za kiafya.

Aidha, Papa Francis anatarajia kuongoza misa yake ya kwanza kesho katika Kanisa la Mtakatifu Peter, mjini Vatican.

Katika wasifu wake ulioandikwa mwaka 2010 na Francesca Ambrogetti na Sergio Rubin wa Shirika la Jesuit, Papa Francis I alikiri kuwa aliwahi kufanya kazi kama mlinzi wa mlangoni katika moja ya baa za Jimbo la Buenos, Argentina, ili kujipatia ada ya shule.

Papa huyu mpya ambaye jina lake halisi ni Jorge Mario Bergoglio, alisema kuwa rafiki yake wa kike alikuwa ni miongoni mwa kundi la marafiki aliokuwa akicheza nao muziki wa tango.

“Lakini baada ya kubaini kuwa natakiwa kuenenda kiroho, nilisitisha urafiki,” alisema alipohojiwa.

Papa Francis I amezaliwa katika familia yenye maisha ya kawaida, ambapo baba yake alikuwa mfanyakazi wa shirika la reli na mama yake alikuwa mama wa nyumbani.

Vilevile kuna taarifa zinaeleza kuwa Papa Francis, aliwahi kumpenda msichana mmoja na kutaka kuoa kabla ya kuingia katika utumishi wa Mungu.

Mwanamke huyo Amalia Damonte alisema kuwa aliwahi kutaka kuolewa na Papa, lakini alikataa.

“Nampa hongera Papa Francis, lakini nilikataa ombi lake la kutaka kunioa,” alisema Damonte.

Alisema Bergoglio alionyesha nia ya kumwoa akiwa na miaka 12 na alikataa kwa sababu wazazi wake wasingekubali akiwa katika umri huo.

Sasa maisha yake yaibua mengi, YAPI??
Yaani hayo huyaoni?JAMAA ALIKUA BAUNSA WA BILLCANAS
 
Kuwa na nia ya kuoa katika maisha ndio mambo mengi? Mbona hadi hata kunguni huwa na nia ya kuoana? Sembuse mwanadamu?
Mika 12 unawaza kuoa?JAMANI SI UKWARE HUO?WE ULIWAZA NDOA UKIWA NA MIAKA 12?YAAN HAPO HAJABALEGHE JE ALIPOBALEGHE
 
2.Kutaka kuoa mtoto wa miaka 12.

3. kucheza mziki wa Tango na kinadada warembo.

4..........hili halisemeki hazarani, dugu!
Mkuu tumia akili kufikiria,habari inasema hapo alikuwa bado hajamjua muumba wake,lakini baada ya wito wa kuwatumikia watu kwa neno la Mungu kumjia aliacha vyote na kurudi kwa Bwana, kuna sehemu kasema na quote “Lakini baada ya kubaini kuwa natakiwa kuenenda kiroho, nilisitisha urafiki,” alisema alipohojiwa.
 
Watu wa ulaya wanataka aruhusu ushoga na balaa nyingine. Kwani lazima...si waanzishe kanisa lao?
 
cv yake imenifanya nife kucheka bausa wa goldcreat na mcheza tango.ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha hah if i die laughing my mom will kill me
 
Naomba nielimishwe hivi papa yuko kwenye maandiko matakatifu au ni janja ya wazungu kutawala dunia
 
Alieanzisha uzi huu ni mfuasi wa vikanisa njaa vinavyotegemea mazingaombwe ya sadakalawe
 
Mi ninachosema tunamsukuru MUNGU kupata kiongozi habari yakua alikua bamsa,alitaka kuoa mtoto,alicheza mziki na wadada hausu.kwa sababu mpaka kua alivyo ndivyo ilivyopangwa iwe.hata wale wanafunzi wa YESU kila mmoja aliitwa kivyake kila mtu alikua na maisha yake wote waliacha wakamfuata YESU.nae PAPA ameacha ya dunia yuko naya MUNGU.kwaio haijalishi sisi waumini hatul ndio mpango wa MUNGU.
 
Watu wa ulaya wanataka aruhusu ushoga na balaa nyingine. Kwani lazima...si waanzishe kanisa lao?
Jamaa wa ushoga wanataka kubanana hapo hapo.

Kuwa shoga,"wanasema" ni human right.
Lakini kila aliye human anajua kuwa that is not right.

Mafia(Illuminati) wameliharibu kabisa kanisa.

Umesikia UN(Illuminati institution) wameanzisha World religious body? Lengo kuziweka mkononi dini zote zitumikie Illuminati agenda. ONE-WORLD RELIGION NOW OFFICIALLY BORN!! A SPIRITUAL EQUIVALENT TO THE UNITED NATIONS! - Christian Updates - New World Order.

Mkuu Kanisa tayari limeshabariki hayo mambo, sasa itakupasa ubanane nao au uanzishe kanisa/msikiti/hekalu lako.

Usifuate usiyoyajua,hiyo dini ina wenyewe....rudi kwenye dini za mababu zetu,kufanya ibada kwenye miembe, mibuyu, miti,milima na mapango.
 
Mkuu tumia akili kufikiria,habari inasema hapo alikuwa bado hajamjua muumba wake,lakini baada ya wito wa kuwatumikia watu kwa neno la Mungu kumjia aliacha vyote na kurudi kwa Bwana, kuna sehemu kasema na quote “Lakini baada ya kubaini kuwa natakiwa kuenenda kiroho, nilisitisha urafiki,” alisema alipohojiwa.

Kama alianza kula uroda wakati bado hajamjua muumba,unafikri ataacha kula uroda wakati amemjua muumba wake ambaye ameumba mwanamke na mwanamme?

Hii habari ya utawa ndio imeliingiza kanisa katika mambo ambayo dugu Ndahani post #116 analalamikia.
 
kwani we unajua Mama yako aliolewa na Baba yako akiwa ana miaka mingapi?Na unajua kabla ya hapo alikuwa na mwanaume gani?

Wewe anayajua ya mama na baba yako?
Hebu, tumwagie hapa, tupate kufulahi...wewe kweli toto tundu.

Ehee, mama "yetu" alikuwa na wangapi?
 
Dugu waumini fanyeni udadisi.

Last edited by a moderator:
Watu wengi wana kiu ya kujua, lakini hakuna wa kuwafundisha!
 
Hizi kitu zipo mtandao ,sisi tu ndio tumefunga macho.

Last edited by a moderator:
Hii inathibitisha kuwa papa ni big ishu,kama sivyo kusingekua na mjadala huu!
 
Back
Top Bottom