Akitokea kadinali SHOGA ( kawa yule aliye jiuzuru nchini Scotland ) atampa adhabu gani?Hakuna jipya. Lakini hii ni kuonyesha ni kwa jinsi gani watanzania tusivyo wachokonozi tena kwenye zama hizi za TEHAMA. siku aliyochaguliwa wale waliojisumbua ku-Google walishajua kama jamaa alishawahi kuwa Baunsa, na mimi nimeipenda sana kwani kama atatokea Kadinali mkorofi ajue atakutana na Baunsa atamtuliza!!
huyaoni .. Alikuwa baunsa wa baa
Hivi huyu papa na mtu Muhammad nani ana afadhali?! Mtume alioa mtoto wa miaka nane na akaoa mzee mzima kikongwe!! Sisi hatusemi ila nyie ndio mnaona huyu anamakosa!!
Papa alicheza mduara !
Labda utusaidie wewe maswali hayo mamaako aliolewa akiwa na umri wa miaka mingapi? Kesha wahi kufumaniwa marangapi?kwani we unajua Mama yako aliolewa na Baba yako akiwa ana miaka mingapi?Na unajua kabla ya hapo alikuwa na mwanaume gani?
Nilijua lazima hili bandiko litatufikisha huku!! Jadilini hoja iliyoko mezani jamani. Kuna "Mengi Mapya" yameibuka kwenye maisha ya Papa Francis (Siyo Papa Francis I)?Hivi huyu papa na mtume Muhammad nani ana afadhali?! Mtume alioa mtoto wa miaka nane na akaoa mzee mzima kikongwe!! Sisi hatusemi ila nyie ndio mnaona huyu anamakosa!!
Mtoto wa miaka 12? Huu ni ubakaji kabisa dah!
Usiji tosheleze kwanini wakati tunaamini kuwa wingi unaanzia na mbili? Nakuusu "jipya" ndio jipya kwa mtumishi wa yesu kama yule. Isinge kua ajabu kama habari hizo zingimuusu mtu asie kiongozi wa dini kama yeye.Kitoabu kinachobishaniwa ni kama kweli kuna "mengi mapya" yameibuka kwani ukisema mapya unamaanisha hayajawahi kusikika kwingine. Na habari hii ameinukuu kutoka kwenye Gazeti la Mwananchi, lakini kweli hayo yaliyoandikwa ni "Mengi" halafu ni "Mapya"? Tunaweza kujitia ujinga kwa kusema kwamba kuanzia mbili kuendelea ni "wingi" lakini kweli ukisema kuna watu wengi halafu ikaonekana waliopo ni watu watatu tu, wingi huo unajitosheleza kuitwa "wengi"?
Binadamu tunakuwa wanafiki sana. Kila mara tunapiga kelele kutaka freedom of expression and opinion, cha kushangaza pale tunapoguswa kimaslahi na kiimani tunakuwa mbogo.
Mwandishi ametoa mawazo yake pamoja na kwamba hayatosherezi, kuanza kumshambulia ni kukiuka basic fundamental freedoms and human rights yake na yenu.
Watu kushangaa siyo ajabu hasa kwa wale wasiojua historia ya kanisa katoliki, ni jukumu la kanisa kuwafanya wasishangae.
Kama kanisa lilijiweka katika macho ya wananchi na ku-paint picture ya Papa kuwa ni mtu ambaye hakuwahi KUJIRUSHA wakati akiwa kijana basi inabidi ku-adjust hiyo image. Kwa mawazo kama haya, siyo ajabu lilikuwa linaweka chini ya carpet hata madudu ambayo mapadre wake walikuwa wanafanya.
kwani Papa anashuka kutoka Mbinguni, ama alizaliwa duniani na amekulia mbinguni?. Huyu ni binadamu kama mimi na anamahitaji kama yangu. Kwani Yesu aliposema amekuja kwa ajiri ya waliopotea alikuwa ana maana gani?.
THIS IS OPEN SOCIETY.
Labda utusaidie wewe maswali hayo mamaako aliolewa akiwa na umri wa miaka mingapi? Kesha wahi kufumaniwa marangapi?
Usiji tosheleze kwanini wakati tunaamini kuwa wingi unaanzia na mbili? Nakuusu "jipya" ndio jipya kwa mtumishi wa yesu kama yule. Isinge kua ajabu kama habari hizo zingimuusu mtu asie kiongozi wa dini kama yeye.
huyaoni .. Alikuwa baunsa wa baa
Ha ha haa! Wanamuangalia Papa kipekee kuliko hata mtume wao! Kuna mchungaji mmoja aliwahi kuuliza, hivi kama mtume angekuwa ameyafanya hayo sasa hivi, mahakama ingempa adhabu gani? Watu: kunyongwaaaaaa!Lakini mbona mtume wa wasilamu alioa kabisa? tena katoto ka miaka 8 na hamsemi?