Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
Is a real jesuit, as reported in the news
Hongera Pope Francis. May the Loard bless u and the RC church.
Kilichonifurahisha zaidi ni hiki zoezi limekamilika ndani ya siku 3, amechaguliwa siku ya 3 ya juma on 13/3/2013 time 3:33 p.m alizaliwa mwaka 1936 namba tatu tatu zimetawala watalaam wa namba kazi kwenu.Mimi naanza YESU alikufa na siku ya tatu akafufuka.
Mungu ni mwema sana na msikivu.Ametupa baba mwenye kujua kazi ya kichungaji na kuwajali masikini,Ee baba lilinde kanisa lako dhidi ya maadui,wajalie busara viongozi wote wa dini,wafundishe kuwa imani juu yako siyo kijiwe cha mashindano ya kuona bolti kwenye jicho la dini nyingine,bali kukamilishana tukiwa na nia moja ya kurudi kwako siku moja.
Is a real jesuit, as reported in the news
Afadhali hili limeisha ili Pengo arudi maana vijana wake live wakiriri mipango yao ya kutesa na kuua
Refer lwakatare video
Asilaamu serikali tu kuwa haifanyi kazi kulinda raia wakati hawa ndio ndio walio takiwa wachaguliwa kwa msimamo wa pengo pale walipo toa waraka kwa waumini wao juu ya kuchagua nani
Leo vijana wake ndio wanaonekana live kupanga mikakati michafu kabisa
Arudi tu maana kwa namna hii mhhh umafia upo rasmi
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Hv kwanini pengo hakuchaguliwa?
Y?unaweza kutufafanunulia
kwa nini?
Shida yako ni lugha, Kiitaliano hukielewi, utamuelewaje Pope Francis?
Kwani kumuelewa kwako kutasaidia nini kwenye kanisa katoliki? Vipi shekhe Ilunga alisema na yeye auliwe ili mpate thawabu?
Hivi Yule jamaa anaye kuchapa nao yupo?Jee, wewe umemuelewa-elewa? Uliziona swaga zake?
Nadhani umenielewa.
Ile lugha inayotumiwa na waganga (kiarabu) inapanda?Wewe ulimuelewa? alikuwa haongei Kiitaliano, umechemsha. Alikuwa anaongea KiLatino.
Kiitaliano nakielewa vizuri sana.
Huyu ametokea nchi za pembezoni, alikuwa na mazoea ya kufanya uchungaji akizunguka sehemu mbalimbali kwa usafiri wa bus, nadra sana kuwapata viongozi wa kiwangoa chake ulimwengu wa leo, wengi wametanguliza zaidi ukuu badala ya utumishi.