New Catholic Pope: Cardinal Jorge Mario Bergoglio

New Catholic Pope: Cardinal Jorge Mario Bergoglio

Hongera zake mzee Papa. Ila inabidi abadilishe dress code ya mapapa na maaaskofu. Kwa kweli uvaaji wao umepitwa na wakai
 
utakatifu inategemea na dini gani upo.. ulazimishwi kuamini.. kama sio mkatoliki .. na ndio maana kuna tofauti katika imani ....

duh! utakatifu unategemea na dini tena!?? hii nayo hoja mpya...kama zipo types ama forms za utakatifu ningefurahi kufahamishwa kwayo..!!
 
From Conservative wing...tutegemee kukemea kwa nguvu zote ushoga na kuoa na kuoana kwa Mapadri hakuna
 
Hawajampa kilaini yule wa bukoba hata umakamu wa pili wa pope???
 
Bora ya hayo kuliko angetoka tena ulaya

He is also a conservative theologist. His theological teachings are almost similar to Pope Emeritus.

He gave up his chauffeur driven limosine and took public bus.

He opposes abortion.
 
Ziara yake ya kwanza kabisa itakuwa nchini Brazil.
 
Hongera zake mzee Papa. Ila inabidi abadilishe dress code ya mapapa na maaaskofu. Kwa kweli uvaaji wao umepitwa na wakai

vip unataka wavae jeans,suite an tai au modo??
 
PAPA FRANCIS

attachment.php


734555_505707256133896_971979783_n.jpg

Ok,safi sana
 
Back
Top Bottom