Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,955
- 16,006
ha ha ha!!arsenal 1 bay 0Nilikuwa nimesahau mkuu ngoja nikaomboleze, japo leo nina furaha...
ha ha ha!!arsenal 1 bay 0Nilikuwa nimesahau mkuu ngoja nikaomboleze, japo leo nina furaha...
From Conservative wing...tutegemee kukemea kwa nguvu zote ushoga na kuoa na kuoana kwa Mapadri hakuna
Naamini muda mfupi ujao tutachagua mwingine
Wako wapi waliosema lazima atoke Italy........
Nitaacha kushabikia Man United kama Arsenal ikipita leo!
Ila umri wake mkubwa
NATABIRI... Atakuwa MMAREKANI!""
Alishindana na Benedict wa 16 mwaka 2005 halafu alijitoa ili ampe ushindi mwenzake