New Boko Haram video emerged

i have 😕 with that up right logo of BOKO HARAM guns with Koran whats does it mean???
 
Ngoja obama afanye vitu vyake! Boko haramu wanatumia vibaya dini ya Allah..
 
Hicho ndicho kilichotokea kwa wadada hao....wamesilimishwa na kupewa nguo za heshima za kiislam(majalabib)..na inasemekana wanapiga swala tano kama kawaida....haya yamethibitishwa na video iliyorushwa hewani na kundi hilo kupitia kituo cha BBC....kwa maelezo zaidi tembelea BBC swahili.com ujionee mwenyewe.
==========================================

Chanzo:BBC
 
Tuombe Mungu wapatikane wakiwa hai na wasifanyiwe vitendo viovu.
 
Hata kama wameslim si kwa matakwa yao bali kwa kulazimishwa
 
Hilo swali la kwanza umeuliza kichwa chako kikiwa kimetengana na mwili? Hiari gani chini ya mateso na vitisho vya kuuawa? We uko wapii?

Mbona matusi tena, kiongozi wa Boko H kajigamba kuwa na wasichana wote wasilimu, sasa kuuliza kama wamefanya hivyo kwa hiari ni wendawazimu?
 
Kwanini magaidi wakisikia MOSSAD wameingia mahali wanatishika sana?sasa hivi wanataka kubadilishana mateka wakati mara ya kwanza walisema wanawauza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…