Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 784
- 1,445
Hellow brothers and sisters.
Kuna jambo limezuka sikuhizi ama kuenea kwa kasi katika jamii yetu.
Kuna baadhi ya maneno yamekuwa yakisikika midomoni mwao watu hasa vijana wa kisasa, maneno hayo yanatia mashaka kwani ni dalili ya kwamba mtu anaweza kuwa mpagani bila kujijua. Pia maneno hayo tunayaiga kutoka kwa watu wa mataifa ya mbali.
Na huyo mtu unakuta ana imani yake ya dini lakini bado anazama katika misemo hii ya kileo bila kujua misingi na lengo kuu hasa.
Mifano ya maneno hayo ni:
• Do whatever you want
• Follow your heart
•You be you
• Believe in yourself
• Manifest your dreams
• My life my rules
• Do what feels right for yo
Jesus said to all : If anyone would come after me, let him deny himself and take up his cross daily and follow me. ( Luke 9:23)
Hivyo, kama mtu umeamua kuwa muumini wa kweli basi sio vyema kubadili na kujipa mamlaka ya kuendesha na kusimamia maisha yako bila kumuelekea Bwana wako kwani yeye ndiye mwenye mamlaka makuu juu yako.
#BM