Neville Meena amehamia rasmi Gazeti la Tanzania Daima na kupewa nafasi ya Mhariri Mtendaji

30.jpg

Neville Meena



Kuhama huko kwa Neville Meena kumekuja ikiwa miezi michache kupita baada ya aliyekuwa Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Mwananchi Tido Mhando kuhamia Kampuni ya Azam media.

Taarifa za kuaminika ambazo mtandao huu umezipata zinasema Neville Meena amehamia rasmi Gazeti la Tanzania Daima na kupewa nafasi ya Mhariri Mtendaji.



Hizi nyuso kwenye Picha-sijui msemaji alikiuwa anamwaga poiti gani hapo!
Yoyote kwa yote Neville usisahau Misingi ya Uandishi na mbaya zaidi kipindi hii unachojiunga nacho hili Gazeti ni Kipindi ngumu sana na yenye Changamoto nyingi. Kutakuwa na Pressure ya Mmiliki nyuma yako kwa sababau za kisiasa!

Ujumbe wangu kwa Wamiliki msigeuze Gazeti kuwa jalala la Progapanda bala yake waacheni na wapeni kila kitendea kazi kwa hawa watendaji kuwapa watanzania kilicho Bora na Ukweli mtupu.

Madudu ya Serikali na Watendaji wake yako mengi hivyo ni vizuri gazeti likajikita huko kuliko kukimbizana na Wanasiasa mmoja.

Muda huu kuelekea Uchaguzi Oct-2015 ni muda gazeti likajipanga kuwaongoza watanzania katika kumpata Raisi ,mwaminifu,mchapakazi,mkweli,asiye fisadi na kubwa anayediri kuwakemea Mafisadi waziwazi ,hadi marafiki zake wanajua hivyo!

Hongera Neville
 
Kwa sasa ni ngumu kujua gazeti bora kabisa la kiswahili, nilikua naamini mwananchi enzi hizo sasa hivi... mipasho mtindo mmoja...


Sisi waTanzania tuna Matatizo Tupende Tusipende. Our Media House is POOR...
 
Hivi mishahara ya waandishi wa magazeti ya kibongo Mwananchi, Tanzania Daima, na Nipashe ni kama sh. ngapi wakuu? Unaweza kushangaa nafasi kuuubwa (Mhariri Mtendaji, Mhariri wa Makala, Mhariri wa Michezo, etc.) kumbe mwisho wa mwezi take home UPE afadhali. Tasnia ya habari nchini hovyo kabisa.

Mkuu sijuhi huko lakini nijuavyo AZAM mtu wachini take home si chine ya 1M.
 
uhuru wao kama wanaona mambo yao hayaendi na pia kama hamna uhuru wa kutoa mawazo kuna haja gnai kubaki huko
 
We nae Meena siyo mchaga, ni mhaya wa Katoma Bukoba vijjijini huko:A S wink:
 
hapa ni kama vile unalipigia debe gazeti la tanzania daima na unalipaka matope mwananchi. akina meena wameondoka hawakukimbia na wamefuata green pasture. sasa tanzania daima ihakikishe kuwa donge nono linadumu au sivyo na wao watakimbiwa pia.
 
Back
Top Bottom