Hatujaelewana rafiki nimekuuliza ww utajisikiaje ukiambiwa huaminiwi?Mimi najua naaminika na nina hakika na nisemayo!!^^
Kwa hiyo unakubali hamuaminiki?
^^
Inategemea ,kuna mambo mengi ya kuconsider kabla kumuamini...kwa jinsi walivyonitenda nawaogopa hawa viumbe kama upatu...^^
I take it as a challenge kwangu..naam we unaaminika lakini unaweza kumuamini mwanaume?
^^
Himidini kama unaamini katika Kristo Imeandikwa, 1Petro 3:7 "Kadhalika ninyi waume kaeni na wake zenu kwa akili na kupa mke heshima kama chombo kisicho na nguvu, na kama waridhi pamoja wa neema ya uzima kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe."

Na kwanini asiniamini?kama nimemuonesha bad sign lazma uaminifu upungue ama usiwepo kabisa! Lakin kama nina good communication lazma niaminiwe!! But kuamini unaosema wewe ni ktk nyanja ipi?Btw -kuna wanaume wachache sana huwaamini wanawake waliobakia wote zerooo!!