Never say never

Never say never

mi naijiuliza hivi kwanin ukijisemea mabaya ndio yanayotimia lakin mazuri kutimia ni ngumu, cijui ni mimi tu au na wengine?

I guess mabaya tunaya notice haraka zaidi sababu ya negative minds muda wote.
 
Wengine we are sturbon so when we say never it is never
 
Ni vigumu sana kutosema. Roho ikiumizwa chochote waweza sema. Kuna viumbe wana dhambi sana wepesi kuumiza roho za wenzao. Ni Mungu tu anaepusha lakini kusamehe ni vigumu sana.
 
Uliyosema yote ni sahihi 100% ila kwa uwezo wa kibinaadam hazitekelezeki.
 
Back
Top Bottom