mkuu usiwaogopeshe watu waone kama IT ni bonge la deal kuijua na ina watu wake.....
IT ni rahisi sana ndio ansema hivyo sibahatishi kwa kauli zangu.....hao wanao pratice IT na sio wazuri kiuntendaji basi hawa pratice IT kuna kitu kingine wanafanya....kwanza IT ni intertaing inafurahisha na hai boi......
...mbona wewe ni comp guru mbona una imaster comp mkuu iweje wengine washindwe wewe uweze?
hapana mkuu networiking iko mbali kidogo na programming..networking kwa lugha nyepesi ni kile kitendo cha kufanya comp zaidi ya moja kuonana na kuwasiliana na kubadilishana data zikitumia hasa hardware na software....networking lazima uwe unajua programming
database administator lazima uwe unajua programming
developer lazima uwe unajua programming
au labda unamaanisha developer?
wacha utani unaweza kupata CCNA bila kujua cisco comandhapana mkuu networiking iko mbali kidogo na programming..networking kwa lugha nyepesi ni kile kitendo cha kufanya comp zaidi ya moja kuonana na kuwasiliana na kubadilishana data zikitumia hasa hardware na software....
....hakuna haja ya ku program au kuandika code ili ufanye networking.........
wacha utani inamaanisha unaweza kuwa oracle dba bila kujua sqlAgain kuwa DBA sio lazima ujue programming database ina deal na ukuswanyaji,utuzwaji na usomwaji wa data zilizohifadhiwa kwenye computer au network.......
umegusia developing nimekusoma vema.....developing ndio hapo ambapo lazima ujue programming maana unaandika code mpya na kuziprogramme ili ku develop software za aina mbali mbali....
Hello All
Nihitaji kupatata ufahaku kuwa kati ya masomo hapo juu ni lipi kati ya hayo yanalipa na maana hata mshahara wake unakuwa mziri plz
mkuu labda tuwekana swa programming ni nini?Mkuu kama hujui programing kwenye DBA umekwisha kuna code kibao humo za kuandika labda sijui uwe unafanya database gani hizo ambazo hazi hitaji code writing....nilikuwa na mawazo hayo likini toka nimekuwa DBA siwazi tena hivyo.....get to the field uone mambo.....hizo programingi language kama pythion,VB,SPM(Structure programing Method) Datadesk.....mzee utafanyaje kazi bila kuzijua.Yaani ni lazima.....usipo jua programing hata flow ya data zako unaweza kukushida kuisoma wewe mwenyewe baadae....</p>
There is another important thing that should not be overlooked, which makes the question on this thread even more relevant. I think the poster did not mean which pays the most, literary. I think he/she wants to know which field will allow him to be at an advantage in the Market place.
The key issue here is the market place. Different market have different IT skills requirements. Moreover, The IT skills needed for a particular market will change from time to time as the technology and the business environment changes.
In my humble beginnings 13 years ago, desktop support was a big deal. Users didnt even know how to print. And that was in Wall Street!
Kwahiyo mkuu/mwanangu, mimi nakushauri utilie makini yafuatayo:
1. Get the necessary academic foundation. Lakini usisome tuu just for the sake of studying.
Lionel Richie (yes, yule mtombanishaji) once said: take your education and use it
2. Always keep your ears to the ground to know what is relevant today/tomorrow.
3. Keep up with the field (read, read, read trust me on this one)
4. And last but not least, you should do things, build things, design things, develop things.
This is the only way to get to the top. Usingoje kufundishwa
Wengi mnaboronga hapa. Hile miaka ya kujua kila kitu imepita kwa sababu makampuni mengi yanaangalia productivity sana na tools nyingi zimekuwa-developed kusaidia kuondoa matatizo.
Hivyo mtu anaweza kuwa database mzuri tu bila ku-program.
Unachosema nikweli. Lakini ukweli huo usiishie hapo tu mwanangu.
Kama unania ya kufika mbali (to go up the food chain, kama wanyamwezi wa nyoko wanavyo sema), lazima uwe na uwezo wa critically thinking.
Ukijifuza lotus notes administration unaweza kupata kazi. Lakini kama kampuni ni kubwa, wataangalia back ground yako ili ku-determine if they should give you more responsibilities. Why? because if the system is the bloodline of their business, they cannot take risk with someone who just knows how to configure the domino (Lotus) server. No, they want you to be able to see the whole infrastructure in a deeper way. And more responsibilities come with more PAY!
Sasa kama unafanya kazi kwenye kampuni ndogo au where IT infrastructure is not part of the core business, then you will get by just fine. It is all about the market you are in, and where you see yourself in the near future.
Most university/colledge degrees don't just teach database management or just JAVA programming. You need also to learn how to think in abstract and soft skills (business skills, writing skills, communication skills, etc). One of the most important skill of any programmer is the ability to interact with the customer (application analysis) to know exactly what they need - not how you think the application should be designed. You will need to be able to write properly, especially when you are communicating with upper management who have no clue of the technology, but they control the funds.
Again, the upper you want to go in the food chain, the more rounded you should be. But, you must also find your niche - your area of expertise; be it Database admin, Programmer, Network eng, IT manager, etc.
Mtu aliyefanya Mechanical Engineering kufanya IT sishangai. Lakini ina depend anafanya nini maana IT ni pana. Bongo hatuna IT huo ndo ukweli. tunababaisha babaisha tu ili mradi siku ziende. Kufanya configurations za mail server au dns au dhcp any body can do it akifundishwa. Na mtu mwenye engineering background ni rahisi kujifunza. Kuna wengine ni mabingwa wa ku format kompyuta na kutoa virusi wote wanaitwa ma it expert ha ha ha. Kuna mabingwa wa politics za it na wanaitwa ma it expert. Huwezi kujivunia tuna IT wakati tuna local problems nyingi zinahitaji solutions na wataalamu wetu wanababaisha tu. Watu hawana background nzuri sasa watapata vipi idea za kutatua hayo matatizo.Kwenye IT kuna watu wa aina 10. Those who know binary, and those who don't. Ndio maana kuna watu wamesomea mechanical engineering na wanafanya vizuri sana kwenye IT, na wengine wamesoma CS na hawajui wafanyacho.
Wengi mnaboronga hapa. Hile miaka ya kujua kila kitu imepita kwa sababu makampuni mengi yanaangalia productivity sana na tools nyingi zimekuwa-developed kusaidia kuondoa matatizo.
Hivyo mtu anaweza kuwa database mzuri tu bila ku-program.
Mtu aliyefanya Mechanical Engineering kufanya IT sishangai. Lakini ina depend anafanya nini maana IT ni pana. Bongo hatuna IT huo ndo ukweli. tunababaisha babaisha tu ili mradi siku ziende. Kufanya configurations za mail server au dns au dhcp any body can do it akifundishwa. Na mtu mwenye engineering background ni rahisi kujifunza. Kuna wengine ni mabingwa wa ku format kompyuta na kutoa virusi wote wanaitwa ma it expert ha ha ha. Kuna mabingwa wa politics za it na wanaitwa ma it expert. Huwezi kujivunia tuna IT wakati tuna local problems nyingi zinahitaji solutions na wataalamu wetu wanababaisha tu. Watu hawana background nzuri sasa watapata vipi idea za kutatua hayo matatizo.
Umesema tunababaisha...mean kwamba system zinazo run zote bongo zimekuwa configure na wazungu thanks.Any way unaweza taja matatizo local kama hapo juu ulivyo sema...na umechukua juhudi gani wewe kama uliye weza yaona matatizo katika kuyatatua?Tuongee technicaly hapa sio kama siasa...japo kuwa tuko chini katika IT...ila tunaweza kufanya mambo yakaenda mzee...formating computer mimi kama mimi is not professional should be the last thing you can do the computer....
Regards
Sio wote mkuu tunaboronga...makampuni yanahitaji mtu multpurpose mkuu....IT unafanya na database plus GIS.....unalipwa mishahara ya watu wote hao...na privalage kibao....hii inapunguza kuwa na watu wanne katika kazi inayo weza fanywa na mtu mmoja....Second siku hizi utagundua hata position za ma dreva zitakwisha...hakuna hiyo kazi kwenye makampuni makubwa...manager anajiendesha mwenyewe...ndio maana unakuta wanatangaza uwe na valid driving license.Unajua ni kwanini(Hakuna office kwenye gari,gari ni kitende kazi)...Third hata geologist unapo maliza chuo utakiwa uwe unajua computer data zakouwe unafanya mwenyewe...sio tutafute data entry person....na ujue kuendesha gari wakati wa kwend field...see mkuu so inatulazimu kwenda na mahitaji ya kazi za siku hizi...so database inabidi kujua programming hata IT ikibidi...mambo yakiharibika una kwenda mwenye ku troubleshoot.Regards
Umesema tunababaisha...mean kwamba system zinazo run zote bongo zimekuwa configure na wazungu thanks.Any way unaweza taja matatizo local kama hapo juu ulivyo sema...na umechukua juhudi gani wewe kama uliye weza yaona matatizo katika kuyatatua?Tuongee technicaly hapa sio kama siasa...japo kuwa tuko chini katika IT...ila tunaweza kufanya mambo yakaenda mzee...formating computer mimi kama mimi is not professional should be the last thing you can do the computer....
Regards