Networking , Programing and Database

Hello All

Nihitaji kupatata ufahaku kuwa kati ya masomo hapo juu ni lipi kati ya hayo yanalipa na maana hata mshahara wake unakuwa mziri plz

Programing ndio inalipa zaidi. unataka specialization ya moja ya haya??
 
Hello All

Nihitaji kupatata ufahaku kuwa kati ya masomo hapo juu ni lipi kati ya hayo yanalipa na maana hata mshahara wake unakuwa mziri plz

8 Years kwenye IT industry imenifundisha mambo mawili muhimu.

1) Soma/Fanya Kazi "Unayopenda" iwe Networking, Programming/ Database etc

2) Fedha ni Matokeo
 
Tanzania hakuna specialization utasoma DB lkn utafanya troubleshooting na printer installation, networking inafanywa sana na ISP's wahindi wamekaba mpaka penalty
 
Usikatishwe tamaa na watu wanatoa ushauri kwamba ni lazima uwe mzuri katika Physics & math katika level ya university, kuna watoto, hata high school hawajamaliza wanaandika program zinazotisha. Ushauri wangu ni kwamba mambo ya CS / IT yanahitaji uwezo wa kufikiria kwa mpangilio (logically) hicho ndo kitu cha maana na lazima kabisa lakini mambo ya university hayana ukweli wowote kwenye hii fani.

Ngoja nikusahihishe mkuu. Hizo program wanazoandika za visual basic ndo unaita program? They do the work but they miss fundamental concepts of computer science. Computer science is not equal to programming. Programming is just a practice. You can write wonderful programs ambazo zinafanya maajabu lakini scientifically they are incorrect. Kwenye computer science tunajifunza how to think like a computer scientist unapo design algorithms zako na kufanya coding. As a computer scientist i will always try to optimize my algorithms interms ya memory na cpu time tofauti na mtu anayejifunzia mtaani. Consider the case ambapo unatakiwa uandike application ambayo ina access database na inakuwa accessed na watu milioni moja kwa wakati mmoja. Usipofanya optimaztion kuna kipindi itafika program yako itakuwa inatumia resources vibaya. Yale matumizi mabaya madogo madogo ya resources yame accumulate na yana affect program performance au performance ya computer inayo host hiyo application. Kuna vitu vinaitwa data structures, kuna vitu unaangalia mfano efficency ya algorithms. Which algorithms are better. Mambo ya design patterns. Tunatakiwa tutuengeneze program ambazo wengine wataweza kuzi maintain au kuziendeleza.Sio ukifa wewe ndo na aidia imekufa. You learn those things kwenye software engineering course na sio mtaani. Hizo cases unazozizungumzia sio za wabongo ni za nje.

Mi ningependa kumshauri kama kichwa kina mruhusu akaze buti kwenye programming hiyo ndo fundamental ya kila kitu. Utakuwa network engineer mzuri kama unafahamu vizuri software(Sio trouble shooter). Maana trouble shooting hata mtu wa form four anaweza kuwa mtaalamu wa kutrouble shoot. Na programming kuna application na system. Database inaenda pamoja programming hasa kwenye application software
 
Last edited:
Freelancer Ulichosahihisha ni kipi hasa?
Tuchukulie mfano unataka kuwa Website Developer au Website Designer ambayo ni nyepesi kuliko hiyo ya Developer....

Usikatishwe tamaa na watu wanatoa ushauri kwamba ni lazima uwe mzuri katika Physics & math katika level ya university, kuna watoto, hata high school hawajamaliza wanaandika program zinazotisha. Ushauri wangu ni kwamba mambo ya CS / IT yanahitaji uwezo wa kufikiria kwa mpangilio (logically) hicho ndo kitu cha maana na lazima kabisa lakini mambo ya university hayana ukweli wowote kwenye hii fani.
 
Freelancer Ulichosahihisha ni kipi hasa?
Tuchukulie mfano unataka kuwa Website Developer au Website Designer ambayo ni nyepesi kuliko hiyo ya Developer....

Mshikaji amesema kwamba hauiitaji elimu ya chuo kikuu kuwa programmer ndo namsahihisha kwamba you need one if you want to become the real professional.
Mzee ungekuwa ni computer scientist ungenielewa. Website development inajumuiasha utumiaji wa vitu kama wa technologies kama javascript, server side scripting kama za php ,asp,perl, java servlets, java beans, C hash, vb.net na kadhalika. Sasa wewe hiyo development unayoingelea ni ya simple html au? kwenye dunia ya sasa hivi tunaongelea dynamic websites na database driven web sites. kwa hiyo tunaona knowledge ya programming ilivyo na umuhimu mkubwa. lakini kujua tu programming haitoshi inatakiwa uwe na knowledge pia ya kuweza kufanyia analysis algorithms zako. Hiyo ndo hoja yangu. Huwezi kupata elimu hiyo kiujanja ujanja tu kama mshikaji anvyodai na ndo the way navyothink nikiwa kama computer scientist.

Consider the following scenario kwamba una develop a database driven website. Sasa katika kufanay query kwenye database kuna staili tofauti ambazo kila programmer anaweza kuzitumia katika kuandika query yake. As a computer scientist mimi nachowaza ni optimatization. Nitaandika query in a such a way that database server itafanya a minimum amout of work katika kuzichota tuples kama natumia RDBMS. kuna query zinakuwa zinafanya hata kazi isiyohitajika na hiuvyo kupoteza resources zinazohitajika na server processes zingine. resources ambazo zinapotezwa na user mmoja zinaweza zisiwe na effect ila watapofikia user milioni moja effect itakuwepo. Sasa elimu kama hii mzee huwa inapatikana tuu kwa form four leaver.? tusijidanganye. Wapo watu wengi kwenye it mpaka watu wanashindwa tofautisha nani professional na nani kanjanja. Huwezi ukamfananisha graduate wa computer na jamaa anayefanya trouble shooting au kufanya installation ya windows au anajua kuandika kodi kidogo tu basi.

Labda naongea vitu in abstract way itakuwa ngumu kunielewa nasema nini
 
Nakuelewa kuliko unavyodhani.

Inaonesha ulivyomuelewa, sivyo nilivyomuelewa mie.
GarageRules amekuwa very specific.
Usikatishwe tamaa na watu wanatoa ushauri kwamba ni lazima uwe mzuri katika Physics & math katika level ya university, kuna watoto, hata high school hawajamaliza wanaandika program zinazotisha. Ushauri wangu ni kwamba mambo ya CS / IT yanahitaji uwezo wa kufikiria kwa mpangilio (logically) hicho ndo kitu cha maana na lazima kabisa lakini mambo ya university hayana ukweli wowote kwenye hii fani.
Sidhani kama alimaanisha kusema "hauhitaji elimu ya chuo kikuu kuwa programmer ".
 
Nakuelewa kuliko unavyodhani.

Inaonesha ulivyomuelewa, sivyo nilivyomuelewa mie.
GarageRules amekuwa very specific.

Sidhani kama alimaanisha kusema "hauhitaji elimu ya chuo kikuu kuwa programmer ".

Physics hapana. lakini hesabu ni muhimu mzee. Pia amesema watoto wa high school wapo wengi wanaoandika program za maana. kwa hiyo anamaanisha nini? co kwamba hautiji a university degree kuwa programmer. mimi nikasema unaweza kuwa programmer lakini not the best programmer. sababu una lack knolwedge fulani ambayo kuipata kwake inabidi uwe mtu wa hesabu pia. Kama hesabu hazipandi utafanyi vipi analysis ya algorithms. Kwanza kuweza kufikiria vizuri logically kunaendana na uwezo wako katika hesabu. kama hesabu hazipandi utakuwa tu mbovu kwenye logic.
 
Last edited:
Wewe utakuwa uanaakili sana, Soma ulipendalo. Kwenye hizo kozi kuna watu wasio hata na senti (Zero income) na mpaka mabilionea (Bilgate)
Jichanganye kupat ni majaliwa.
Akhsante
 
Thanks Buswelu, kwani hata mie nimesoma PCB, then BSc Biology lakini kazi niliyooanzia ni Research assistant, then data management with a few database management course and GIS ninafanya kazi hii for more than 5yrs, and am well paid! Kwasasa ninajaribu tafuta MSc IT but was worried of this Background ingawa Physics yangu na Maths A na O-Level even now ni nzuri tu. So this has given me some hope.
 
Hujakosea ndio elumu zetu za bongo........
nikuulize before hio Msc IT unataka kuendelea kufanya kazi za database administration au? kama unataka ku specialize kwenye DB huna haja ya kuangaika na MscIT....
 
Yeah ndo elimu zetu za Bongo maana vyuo vingi let alone secondary pia tumesoma bure lakini pia choice ndogo hivyo sio sawa na nchi nyingine ambako mtu unasoma toka primary kitu ambacho ni hobby, family business oriented and so on. Kwahiyo sio ajabu kukuta mtu akiisha anza kulipwa mshahara akaenda specialize kitu tofauti mradi uwezo unacho whats the problem here, na nadhani inakupa more chance ya kuajiriwa or?
Kama wanavyosema wengine, ninalengo la kujiajiri baadae, na kufika hapo inabidi uwe na mtaji na experience = more pay which requires more knoweldge while still employed. Ndo maana ninataka kujua zaidi kuhusu hiyo field unayotaka kujiajiri baadae(IT) lakini career wise nikawaninahofu hii MSc IT na background nyingine itakuwaje. Kwani mtu itabidi uendelee kufanya kazi muda ndo ujiajiri na pengine hata baada ya kujiajiri, lakini kutokana na comment ya Buswelu kuwa background does not matter ndo nimepata moyo kuwa MSc IT is possible vs others or am I on the wrong track???
 
haman kitu rahisi kama IT duniani....kama uliweza kukariri yale maandishi ya kilatin why not IT ambapo una dela na vitu unavyoviona na kuvifanyia kazi hapo hapo....
kwangu nakushauri hakuna haja ya kupeoteza miaka kadhaa ukisaka masters ya IT jaribu kufanya certification courses ambazo kwako unaona zitakufaa katika career yako.....kama kwenye database uliopo unaweza kufanya MCDBA au ile ya ORACLE ambazo zitakufanye wewe uwe nondo kwente database....
......nimeshuhudia watu wengi wana BA tu na wanafanya mambo makubwa kwenye sekta ya IT.....unajua MScIt ni general haikuweki ku specialize kwenye kitu fulani...tena na inategema na sehemu ulipoisomea kama ni tz basi mzozo mkubwa.....
.....
 
Thanks Yoyo, nimekuelewa maana toka mwaka jana najaribu kutafuta nisome nini? MSc as just a MSc mara nyingine ni waste of time and money - nimecheck IFM - very expensive lakini hiyo vyeti ya India mhh, haya KIU nako cheap but being not on TCU list!? hivyo nikawa naziangalia Microsoft certified courses. Thanks nitazitafuta hizohizo maana kwakweli database ninaipenda na ninapata offer nyingi tu nje ya kazi and wuould like to keep it after retirement. Thanks for your advice.
 
ICT ipo very broad. Kusema IT ni very easy ni kupotosha watu. Tuna watu wengi wana practise IT lakini in real sense ni weupe. Kwenye IT kuna politics pia. Kama unataka usome mastaz za kipolitics zipo nyingi tu hata moja inatolewa pale IFM. Nina mifano ya watu ambao wamesoma degree zingine na baadaye wakaenda kwenye iT. ila ni wachache huwa wanakuwa wazuri. nina mifano ya watu wengi sana ambao they are good in longo longo za IT lakini in real sense ni weupe. If you think u can do it it go for it. Ila Shule itakuwa mtata kupata kidogo
 
Kuna jamaa mmoja alikuwa Mhasibu na alisoma BCom but kuna wakati alifanya kazi na Mzungu mmoja ya Accounting Package ,walivyomaliza yule mzungu akamshauri jamaa asome IT.Kwa sasa huyo Mhasibu amegeuka kuwa Programer
 
Freelancer hujamuelewa Yoyo, nae amemaanisha rahisi zipo ila ndo ni "politics" unazosema na kama mie pia nilivyokuwa na shaka amenishauri kuungia deep kwenye kitu moja to Database kuwa nondo means you go down to the level that was required rather than hit at top kwa MSc. Ni kama Belo anavyosema Jamaa alisomea Programmer you see not IT in general. Nadhani ina make sense sasa ehhee.
 
ICT ipo very broad. Kusema IT ni very easy ni kupotosha watu. Tuna watu wengi wana practise IT lakini in real sense ni weupe.
mkuu usiwaogopeshe watu waone kama IT ni bonge la deal kuijua na ina watu wake.....
IT ni rahisi sana ndio ansema hivyo sibahatishi kwa kauli zangu.....hao wanao pratice IT na sio wazuri kiuntendaji basi hawa pratice IT kuna kitu kingine wanafanya....kwanza IT ni intertaing inafurahisha na hai boi......
...mbona wewe ni comp guru mbona una imaster comp mkuu iweje wengine washindwe wewe uweze?

Nina mifano ya watu ambao wamesoma degree zingine na baadaye wakaenda kwenye iT. ila ni wachache huwa wanakuwa wazuri. nina mifano ya watu wengi sana ambao they are good in longo longo za IT lakini in real sense ni weupe. If you think u can do it it go for it
mkuu unaonekana mtu wa kukatisha tamaa sana watu wasiingie kwenye field ya IT.....sasa umeshasema they r good in longo longo hao hawawezi kuijua IT hao wanajua longo longo katika IT ili ku master kitu hutakiwi ujue longo longo aka ubabaishaji.....

Ila Shule itakuwa mtata kupata kidogo
Why?? kwanini shule zipo kibao duniani ni pesa yako....kwani wewe ulisomea wapi mpaka uakwa comp guru ambapo wengine hawawezi kupata shule hapo?
 
Back
Top Bottom