hallow,
maisha ya kuajiriwa ni ujinga na ni upuuzi mtupu,
hata kama utapata kazi ambayo utakuwa unalipwa vizuri(kama unavyofikiri),it is still non sense,
think a lot about kujiajiri...
makampuni yenyewe hapa town yamekamatwa na wahindi na makaburu,do you think even if you do programing well,or whatever networking or anything they will pay you well?
liberate your mind my dear...
better think of been an interprenour..
thanks
Kuajiriwa kuna faida zake. Mi nashauri mtu apitie ngazi ya kuajiriwa kabla ya kujiajiri. The aim is for you to know what it is like to be an employee.
Kwanza, uone ubaya wa kuajiriwa; lakini wakati huo huo upate experience ya kazi pamoja na mahusiano kazini. Kuajiriwa kwako kuwe ni kwa lengo la kuijua kazi yako vizuri. Tumia fursa zilizopo, mfano kwenda kusoma zaidi hata kama ni masomo ya jioni au ikiwa lazima ujilipie.
Utakapojiajiri huenda ukaajiri watu, sio? Mambo ya mahusiano kazini, aina ya watu wa kuajiri, challenge zake n.k, yatakwenda kwa uwepesi ikiwa uliwahi kuajiriwa.
Halafu, kujiajiri isiwe ndio mwisho wa game
Ngazi zenyewe zaweza kuwa:
- Kuajiriwa
- Kujiajiri
- Kumiliki biashara
- Investor
Unatoka kwenye ngazi moja kwenda kwenye nyingine au unakuwa huku na huko, mfano
business owner and at the same time
part-time employee.
Hello All
Nihitaji kupatata ufahaku kuwa kati ya masomo hapo juu ni lipi kati ya hayo yanalipa na maana hata mshahara wake unakuwa mziri plz
Ni muhimu kuangalia malipo yatakuaje baadae, ila ni muhimu zaidi kuzingatia na kufuata au kusoma kozi utakayoipenda. Your
passion for something will almost always give you the motivation to keep you going even when things get tough; I can say it confidently that that is guaranteed. Inasemwa kwamba watu wengi hufa zaidi siku ya Jumatatu asubuhi kuliko siku zingine za juma (mostly for heart related illnesses). Some of these people are well paid employees who lack passion for what they do at work.