Netanyahu kwenye mazungumzo ya siri kuwahamishia raia wa Gaza Congo!

Dini ya kitaahira hii ndio maana chini imeipiga marufuku. India wamasema within 20% watahakikisha wana eliminate uislamu.

India waislamu hawaleti upumbavu huo wa sijui kitimoto ni haramu sijui tuwe na bucha zetu sijui ujinga gani, wamepewa masharti ni eitha wakubali kuyafuata kwa lazima ama wafe njaa na wanaishi vizuri tu.

Huku sisi tumewabebeleza sana waislamu haya ndio matokeo yake.
 
Naona unaruka ruka kama chura kwenye maji

Waislam misingi yao popote pale ipo wazi wala haina unafiq

Huko india kwenyewe wanasema waislam baadhi ya maeneo wasichinje Ng'ombe kisa wao wanawaabudu ila waislam wanawafyeka safi tu

Sio mume wadekeza hamuna namna yakuwafanya sababu wanasimamia imani yao

Au basi wafanyeni mnavyotaka basi tuone
 
shida wakija hawataki tuwaoe. Bora tusichanganye hizo damu maana. Wakikaa miaka 2 watasema ni kwao
 
Mkuu Netanyahu alikuwa anafanya hivyo kwasababu za kisiasa kusiwepo na mashambulizi ambayo yangemletea shida kushinda uchaguzi. Akaruhusu mamilioni ya US dollars kuingia Gaza kutokea Qatar.

Umaarufu wake kisiasa ulipungua sana na kuhatarisha Kupoteza madaraka. Hata baada ya lile shambulizii yeye analaumiwa. Pesa zile zilitumika na Hamas kujinufaisha ikiwemo kujenga mahekalu ya kifahari pamoja na mahandaki.

Maana Hamas wanasema kazi ya kuhudumia wananchi wake ni ya UN kwasababu wengi wako kwenye makambi ya ukimbizi. Hivyo hizo pesa hazikwenda kuhudumia wananchi “necessarily”
 
Gaza kaskazini hapafai tena kuishi kwa sasahivi.
 
Gaza kaskazini hapafai tena kuishi kwa sasahivi.
Kwa hiyo wanataka Wapalestina waende Misri, kisha Israel Iharibu Gaza kusini kama ilivyoharibu kaskazini, kisha waje waseme kuwaambia wapalestina kuwa hamuwezi kurejea Gaza nzima kwa sababu Gaza yote imeharibika?
 
Kwa hiyo wanataka Wapalestina waende Misri, kisha Israel Iharibu Gaza kusini kama ilivyoharibu kaskazini, kisha waje waseme kuwaambia wapalestina kuwa hamuwezi kurejea Gaza nzima kwa sababu Gaza yote imeharibika?
Unaweza ukawa sahihi kwenye hilo.
 
Huwa ninajiuliza, waislamu wote wanaitana ndugu ktk imani, iweje machafuko yanapotokea mataifa ya wala kitimoto na ndizi huwapa hifadhi huku wale wavaa kobazi wenzao wakiwatelekeza?


MK254 na Maghayo
Kilichowatokea Lebanon syria hawatakaa warudie .....wa Palestine wako wengi huko zaidi wazawa na walitaka kupindua serikali wameanzisha vyama bina nguvu kuliko wazawa wabishi wana sumbua ndio maana hakuna nchi kiarabu wanawataka.....
 
Wangekubali hapo Uganda, ni wazi tungekuwa tunazamia kwenda kufanya kazi mashambani. Ila Mayahudi naamini hawakutaka kupoteza Yale maeneo wanayoamini Yana historia zao za kidini.
 
Wangekubali hapo Uganda, ni wazi tungekuwa tunazamia kwenda kufanya kazi mashambani. Ila Mayahudi naamini hawakutaka kupoteza Yale maeneo wanayoamini Yana historia zao za kidini.
Sure..
Leo Israel ni nchi ya 4 duniani kwa watu wenye furaha duniani despite the all odds.
 
More Muslims more problems,these people for sure use to much forces to enhance there recognition.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…