Netanyahu asema amepatiwa ruhusa na Trump aache mazungumzo na aingie Gaza kwa nguvu zote amalize kazi

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,488
Reaction score
16,646
Haya maneno ya Trump wala si mapya kuonesha jinsi Marekani inavyoshirikiana na Israel kuwaangamiza wapalestina bila kificho.
Kilicho kipya na cha kushangaza ni jinsi mataifa ya kiarabu na kiislamu yalivyopiga kimya kuruhusu dhulma hiyo huku wao wakiwa na uwezo wa kuzuia.
Tuliobaki ambao ni wanyonge tunachosubiri ni kuona jee hiyo kazi wataiweza na jee itamalizika,

Netanyahu: Trump told me to finish the job in Gaza

unavyolalamikia mataifa ya kiarabu je hamas alipoivamia Israel October 7 akaua,akachukua mateka aliwashirikisha hayo kiarabu kama Hamas walilikoroga wenyewe halafu wakategemea waarabu wawasaidie walinywe wenyewe

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Death toll ya wapalestina ilipokuwa mathalan, elfu tano, ingetokea pande zote mbili ziache jeuri, inawezekana kabisa mateka wa Israel wangekuwa wamerudishwa nyumbani kwao na death toll ya wapalestina isingefika huku ilipo sasa ya zaidi ya 60,000 na labda Gaza isingekuwa imeharibiwa kama sasa.

Tatizo wote ni vichwa ngumu.
 
Haya maneno ya Trump wala si mapya kuonesha jinsi Marekani inavyoshirikiana na Israel kuwaangamiza wapalestina bila kificho.
Hakuna Mpalestina anayeangamizwa. Wanaangamizwa magaidi almaarufu kama HAMAS. Hao wengine wakiwemo waTz, UN, n.k. ni spill-overs za vita sio walengwa.
Kilicho kipya na cha kushangaza ni jinsi mataifa ya kiarabu na kiislamu yalivyopiga kimya kuruhusu dhulma hiyo huku wao wakiwa na uwezo wa kuzuia.
Kumbuka kwamba hiyo Sio vita ya kidini japokuwa wengi Kobaaz et al wamejitahidi sana bila mafanikio kuifanya iwe na sura na mwonekano wa kidini. Kwani mataifa ya Kiarabu na Kiislam ndo waliwatuma HAMAS tar.7 Okt. kufanya walichofanya?
Tuliobaki ambao ni wanyonge tunachosubiri ni kuona jee hiyo kazi wataiweza na jee itamalizika,

Netanyahu: Trump told me to finish the job in Gaza

Mkuu; Tafadhali hebu rekebisa kidogo - Sisi sio wanyonge hata kidogo ila Hatutaki msiba wa kujitakia.
Muda sio mrefu Tutajionea au Kusikia "Game Over". Elewa tu kwamba kidume yupo kazini tayari anausafisha sana Uwanja(Gaza) na anawapepeta sana magaidi wote (nje na ndani)kama nafaka kabla ya kuiingiza ghalani. Usijichanganye hata siku moja au kwa majaribio ukawachokoza waIsrael -ona mifano hai; tazama HAMAS viongozi wote na machawa wao kwishney kabisa, Houthis serikali nzima imelambwa chap', Hezbollah na majigambo yake yote naye kawekwa Chali na yupo kule ng'ambo ya mto Litani, Iran na ubabe wake wote alifinywa kidogo tu na hadi sasa anagumia maumivu na bado ngoma itaendelea, Syria mahesabu yalimalizika kitambo......
 
Mkuu; Tafadhali hebu rekebisa kidogo - Sisi sio wanyonge hata kidogo ila Hatutaki msiba wa kujitakia.
Yote yaliyowapata oktoba 7 ni mambo ya kujitakia na yalikuwa ni madogo sana kulingana na nguvu zoo.Wasingewahamisha wapalestina kwenye makazi yao mwaka 1947 wala yasingetokea yale
 
Siamini kwenye hilo. Hao Kobaaz kwa hulka yao ya kupenda vita, migogoro na mauaji lazima kuna siku wangeliliamsha tu. Hebu ona kwa mfano, walivyopokelewa na kupewa hifadhi kwa huruma na Ujerumani na Ufaransa lakini baadaye dunia imeshuhudia wakianzisha vurugu za kutaka kutambulika kama Raia halali na kudai uhuru wa kuswali(Kusali) wakifunga barabara ili waweze kuswali bila bugudha ya wapitao kwa miguu au vyombo vya moto huku wakivunja na kupora maduka kama walivyofanya huko Gaza - Yan wameshasahau kwamba wao ni wakimbizi.
 
Unawaonea bure.Hulka ya kupenda vita na mauaji ya kishenzi n wakristo na mayahudi.Umesahau kilichotokea Bosnia na Iraq na Afghanistan na kile kinachoendlelea Gaza.
Hamas waliua wachache sana siku ya oktoba 7 na imekuwa nongwa kubwa,
 
Haya maneno ya Trump wala si mapya kuonesha jinsi Marekani inavyoshirikiana na Israel kuwaangamiza wapalestina bila kificho.
Kilicho kipya na cha kushangaza ni jinsi mataifa ya kiarabu na kiislamu yalivyopiga kimya kuruhusu dhulma hiyo huku wao wakiwa na uwezo wa kuzuia.
Tuliobaki ambao ni wanyonge tunachosubiri ni kuona jee hiyo kazi wataiweza na jee itamalizika,

Netanyahu: Trump told me to finish the job in Gaza

Unawalaumu waarabu bure kwani wanaijua historia vizuri kuliko wewe unayeshabikia utamaduni wao wanaokudanganya eti ni dini.

Unawaonea bure.Hulka ya kupenda vita na mauaji ya kishenzi n wakristo na mayahudi.Umesahau kilichotokea Bosnia na Iraq na Afghanistan na kile kinachoendlelea Gaza.
Hamas waliua wachache sana siku ya oktoba 7 na imekuwa nongwa kubwa,
Wakubwa ma GT, naomba niulize; Hivi inakuwaje vita yoyote inayolihusu Taifa la Israeli dhidi ya mataifa ya Kiarabu(Arab countries) hunasibishwa na mambo ya kidini??? Ukristo ni Dini i.e. Wale wanaoamini na kumfuasa Yesu Kristo. Waisraeli ni Taifa(Raia wa Israeli wanazo dini tofauti-tofauti- Ukristo, Uislam, Judaism n.k.). Kuna dini ya Kiyahudi (Judaism) lakini sio Waisraeli wote ni wa dini ya Kiyahudi wala Ukristo.yan sio wote wanaamini katika dini hizo.
Vita ni vita; haibagui cha mKristo, Mwislamu, n.k. wala nini. Ni watu wanauana, wanaharibu kila kitu/miundombinu, mazingira n.k.
Inakuwaje mtu anakuja na hoja eti hii vita ni vita ya Wakristo vs Uislam kana kwamba wakristo wanalenga misikiti, mahospitali au mashule ya waislam ambayo kiukweli Waislam hawajalalamikia hilo.
Kobaaz wanataka kuiuza hii vita kwa Waislam. Waislam wamewashtukia na wameamua kupiga kimya. Daadek!
 
Haya maneno ya Trump wala si mapya kuonesha jinsi Marekani inavyoshirikiana na Israel kuwaangamiza wapalestina bila kificho.
Kilicho kipya na cha kushangaza ni jinsi mataifa ya kiarabu na kiislamu yalivyopiga kimya kuruhusu dhulma hiyo huku wao wakiwa na uwezo wa kuzuia.
Tuliobaki ambao ni wanyonge tunachosubiri ni kuona jee hiyo kazi wataiweza na jee itamalizika,

Netanyahu: Trump told me to finish the job in Gaza

Usishangae ndugu viongozi wa kiarabu wenyewe ndio wanataka Hamas imalizwe, wao akili zao wanafikiria Hamas okishinda itakuwa na uwezo wakuwapindua, kwa kuwapa training wananchi wa hizo nchi ili wapindue serikali zao. We huoni US anavyo watishia kwa hio point. We unadhani wafalme wa kiarabu wakiwa serious watachezewa na Trump au Israel
 
unavyolalamikia mataifa ya kiarabu je hamas alipoivamia Israel October 7 akaua,akachukua mateka aliwashirikisha hayo kiarabu kama Hamas walilikoroga wenyewe halafu wakategemea waarabu wawasaidie walinywe wenyewe

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Hivi ukija nyumbani kwangu ukaua familia yangu, ukaiba mali zangu, ikapita miaka 30, nikaja kwako nikakuvamia nikaua familia yako, nikachukua mali zangu ulizoniibia hapo unapaswa kulia na kusema nimekuonea?

Kabla ya october 2023, Israel ilishaua maelfu ya Wapalestina na kuchukua ardhi yao kimabavu. Hamas walikuwa kwenye haki.
Israel ni invaders... wanaiba ardhi ya wenza kwa kusema waliahidiwa miaka 3000 iliyopita... hao ni sawa na makaburu ambao hadi sasa wanang'ang'ania South Africa na kusema pale ni kwao.

Wayahudi wengi waliopo Israel ukiwauliza babu yako anatokea wapi, utasikia Germany, UK, US, Morocco, Spain n.k.. ila wale Palestinians ukiwauliza babu zao hata vizazi vinne nyuma watakuambia wametokea pale Palestine...

Kwanini Israel inakataa two state solution? cha ajabu na kushangaza wanarudi nchi yao ya ahadi walioahidiwa na Mungu wanavyodai, walipofika tu serikali imetambua LGBTQ, taifa gani hilo la MUngu linakubaliana na sera za LGBTQ, je hio ISrael ya kale ilikuwa na sera za LGBTQ?

Kwanini hamtumii akili ndogo tu kufahamu ukweli na kuweka mahaba pembeni?

Israel ipi hio ambayo ina sera za kishetani wakati huo huo wanadai maandiko yanasema pale ni kwao? Israel ipi hio ya Mungu inaruhusu wanalenga watoto vichanga kichwani na risasi? hao Hamas hadi kuingia Israel kuua si kwa sababu ni magaidi...
Walichoka kuonewa huku dunia isiwasaidie, mashirika ya umoja wa mataifa walishindwa, mashirika ya haki za binadamu walishindwa... UN ilipigwa kura kuitambua Palestine kama Taifa, kura nyingi zikakubali watambulike... Israel na US wakakataa na kutishia kuzuia misaada kwenda UN.. maana donor mkubwa ni US.

Palestine wamenyanyaswa muda mrefu, mfano mdogo hivi sasa wanavyoteswa hakuna anayeingilia kati hata waarabu wenzao kwa kuhofia kununua ugomvi japo roho zinawauma. Ndipo ujue hawa watu hawana support sehemu yeyote duniani toka miaka na miaka, Israel kabla ya october 7 kuingia Gaza au west bank na kuua Palestianians kwao ilikuwa kawaida miaka na miaka.

Sasa acheni Palestinians wajipambanie kiume, wameamua kutumia damu yao kudai haki yao, na Mungu yupo pamoja nao.

Waafrika tumetawaliwa miaka na miaka, Uingereza imetutawala na kudai ardhi yetu ni mali yao, wameingia hadi vitani wao kwa wao wakigombania mali asili za Africa hadi tulipopambania uhuru wakaondoka. hiko ndicho kinaikuta Palestine dunia ya sasa..
 
Haya maneno ya Trump wala si mapya kuonesha jinsi Marekani inavyoshirikiana na Israel kuwaangamiza wapalestina bila kificho.
Kilicho kipya na cha kushangaza ni jinsi mataifa ya kiarabu na kiislamu yalivyopiga kimya kuruhusu dhulma hiyo huku wao wakiwa na uwezo wa kuzuia.
Tuliobaki ambao ni wanyonge tunachosubiri ni kuona jee hiyo kazi wataiweza na jee itamalizika,

Netanyahu: Trump told me to finish the job in Gaza

Sheria ya ugaidi duniani ipo Kwa ajili ya US kwani ugaidi kwake ni tishio

mlitaka akae ikimalizwa Israel anayefata nani
 
Unawaonea bure.Hulka ya kupenda vita na mauaji ya kishenzi n wakristo na mayahudi.Umesahau kilichotokea Bosnia na Iraq na Afghanistan na kile kinachoendlelea Gaza.
Hamas waliua wachache sana siku ya oktoba 7 na imekuwa nongwa kubwa,
Ndo wakome kuiga wakiona wenzao wanaua wakae kimya kuepuka nongwa kubwa na wakiiga watapigwa haina m badala
 
Haya maneno ya Trump wala si mapya kuonesha jinsi Marekani inavyoshirikiana na Israel kuwaangamiza wapalestina bila kificho.
Kilicho kipya na cha kushangaza ni jinsi mataifa ya kiarabu na kiislamu yalivyopiga kimya kuruhusu dhulma hiyo huku wao wakiwa na uwezo wa kuzuia.
Tuliobaki ambao ni wanyonge tunachosubiri ni kuona jee hiyo kazi wataiweza na jee itamalizika,

Netanyahu: Trump told me to finish the job in Gaza

GAza sio ardhi ya magaidi magaidi hamasi lazima wauwaee.

NChi za kiislamu zote zinabow kwa USA,irani ndio anajitia kiburi soon naye atabend the knee.

Gaza inahitajika na westerners.

Long live USA.
 
Back
Top Bottom