Nestory Ngulla katibu mkuu wa TUCTA yuko wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nestory Ngulla katibu mkuu wa TUCTA yuko wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JoJiPoJi, Sep 17, 2009.

 1. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2009
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,314
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  wadau yuko wapi mzee nestory ngulla aliyekuwa katibu mkuu wa tucta, ambae anahusika na ufisadi wa zaidi ya 600m,
   
 2. M

  Mtu B JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 922
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Huyu ninachokumbuka ni kwamba alifukuzwa kazi, kwa hiyo saa hizi yuko kwao anachoma mahindi.
   
 3. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2009
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,314
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo mkuu hakuna kinachoendelea, tuseme ndio wameidhinisha atumie hizo pesa akiwa jumbani, du raha sana kama ndio hivyo.,
   
 4. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,434
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Huyu bwana anafaa asulubiwe kwani hakuwa fisadi tuu bali anahusika na kuua kabisa heshima na nguvu za vyama vya wafanyakazi nchini!! Huyu ni sampuli ya watu wanaotaka uongozi lli kujaza matumbo yao ingawa wanajua aslani kuwa uwezo wa kuongoza hawana. Tanzania yetu ndio hiyo hata vilaza wanapata uongozi; Guninita si huyo mnamuona CCM yuko kidatu cha kwanza sasa na ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa DSM!!
   
 5. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,014
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  hakufukuzwa, alisimamishwa ikaundwa tume ambayo ripoti yake bado haijawekwa hadharani
   
Loading...