Nepi Nepi to Maria Roza

Kuna mtu anaitwa Finest akitokea hapa kila kitu atamaliza, au Lizzy. Nawapa kazi hiyo.
Hawa wote uliowataja wanaishi @New york...saa hizi ucku wa manane bado wamevuta blanket.
 
Hongera sana baby kutimiza miaka hiyo. Mungu akujalie afya njema na ukue vyema.
 
Ametimiza miaka mingapi? Maana mi sipendi kutajiwa miaka
ya mtu siku ya msiba tu.

waambie juzi juzi nlikuwa nasoma biography ya ay katoa tarehe ya kuzaliwa na mwezi tu mwaka kabana hivi awaoni wenzake wa ulaya inakera ka nini wakat akifa tutajua tu.

Hongera katoto.
 
waambie juzi juzi nlikuwa nasoma biography ya ay katoa tarehe ya kuzaliwa na mwezi tu mwaka kabana hivi awaoni wenzake wa ulaya inakera ka nini wakat akifa tutajua tu.

Hongera katoto.
Mostly wanapenda kujishusha...
 
Maria Roza mwenyewe umemficha wapi?
happy bday Maria Roza .
 
May god gives you longer and happy life !
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…