Neno uliloambiwa na unalikumbuka hadi leo na linakusaidia

So sad! Sikumuoa na mpaka mzee anafariki Hakujua nimeoa mke Yupi..

Asee! Pole, lkn yote kwa yote n kumuomba Mungu akupe ndoa yny amn na utulivu. Ili usjute kwann hukumuoa yule uliyeambiwa na baba enz za uhai wake.

Ingawa magomv yapo ndoani lkn muombe Mungu isfke hatua ukajuta......
 
Asee! Pole, lkn yote kwa yote n kumuomba Mungu akupe ndoa yny amn na utulivu. Ili usjute kwann hukumuoa yule uliyeambiwa na baba enz za uhai wake.

Ingawa magomv yapo ndoani lkn muombe Mungu isfke hatua ukajuta......
Nashukuru Nilimpa Mzee Jibu Aliridhia,Nilimwambia Baba Kwa Sasa Sijawa Tayari Ingawa nina Kazi na Kila kitu ila bado.
 
"Hela inatafutwa"
Nilipokuwa chuo napokea boom na bado nikiishiwa naomba home sasa Aunt yangu akaniambia usione watu Wana hela tu ila hela inatafutwa, maana kwa kweli yupo vizur kiuchumi basi ndio hivyo..
Sasa naishi nikijua hela inatafutwa.

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Me nakumbuka neno kutoka kwa sister angu......." Sio lazima upate kila kitu hapa duniani. Kuna vingine Mungu anakunyima kwa sababu"

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app

Nikiwa primary mzee alinipa matatu katika kila jambo nilifanyalo
Utii
Bidii
Uaminifu

Nilipoingia sekondari akaniongezea mengine matatu
Quick
Neat
Correct

Katika yote ufanyayo zingatia hayo mambo sita
 
Ni kawaida duniani Unaweza Ukafanya Kazi Nzuri Watu Wengine Wasione Uzuri Wa Kazi Yako, DUNIANI TUMEUMBWA HIVYO, Wapo watu ambao ni Vigumu Kushukuru, Hata ungembeba Namna Gani hawezi akashukuru, hata Ungemvusha Kwenye Mto Wenye Mamba Wakali Hawawezi wakashukuru...

Hayati Rais Magufuli
Apumzike Kwa Amani!
 
Nakumbuka mama alinambia hivi. VYAKO VYAKO NA WENZAKO, UKIVIPATA VYAKO PEKE AKO. kuna kesi ilitokezea kipindi nasoma na mama angu ni mwalimu wa hiyo skuli, ayo maneno mpaka leo yamo kichwani na nakua makini sana nnaposhirikiana na mtu kwenye ishu yoyote ile
Mbona kama hayaeleweki au Mimi ndo nachanganya
 
Mzee wangu baada ya kupelka matokeo ya mock form six nna Div 3 akaniambia sikia naona hela ya matumiz yako shulen inazid mahitaj yako ndio maana unapata muda wa kufel toka siku hyo naishi na hyo principal
 
"Muhimu kuacha alama"

Aliniambia aliyekua boss wangu wakati naanza ajira yangu ya kwanza kabisa
 
Back
Top Bottom