Si kiswahili sanifu jombaa,wakulaumiwa ni rais mstaafu Daniel Toroitich Arap Moi.Lahaja ya kinandi na pia mwanya kwenye meno yake haungemruhusu kabisaa kusema tingisha.Alama ya chama cha baba na mama,KANU ilikuwa ni kidole kimoja.Mazoea yake ilikuwa ni kuwaambia wafuasi damu wa KANU wadhibitishe uKANU wao kwa 'kutingiza gitole kimocha'!Ole wako ukisitasita 'kutingiza gitole kimocha',usiku wa manane unangongewa mlango na wahuni wake polisi wa 'flying squad'!Kwa wakenya wanaokienzi kiswahili; jee, neno hili "tingiza" ni kiswahili sanifu? Kamusi yaonyesha to "tingisha"
nimeipenda hii....Si kiswahili sanifu jombaa,wakulaumiwa ni rais mstaafu Daniel Toroitich Arap Moi.Lahaja ya kinandi na pia mwanya kwenye meno yake haungemruhusu kabisaa kusema tingisha.Alama ya chama cha baba na mama,KANU ilikuwa ni kidole kimoja.Mazoea yake ilikuwa ni kuwaambia wafuasi damu wa KANU wadhibitishe uKANU wao kwa 'kutingiza gitole kimocha'!Ole wako ukisitasita 'kutingiza gitole kimocha',usiku wa manane unangongewa mlango na wahuni wake polisi wa 'flying squad'!