Neno moja kwa hawa watu

kibaWaKitaa

Member
Apr 26, 2021
26
55
"nipeni likes...wakwanza hapa..tupia likes za kenyan's..."ckuiz ukiingia yutub huez kosa hayo maneno kwny comments..binafsi siwasemi kwa ubaya waomba likes ila bado cwaelew yaan hili suala haliniingii akilini ..likes za nn!?anyways...neno moja kwa hawa watu..#povuRuksa...#naaminWaombaLikesNaHukuMpo
 
Wewe ndo wale mnajipitisha kwa wanaume na vi bukta,ukipigwa dole unaanza kelele. Anyways,tangu 2012 hujapata fursa tena ya kwenda shule mpaka leo?
 
Back
Top Bottom