mti wa ajabu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2012
- 449
- 368
Acha kufikiria kwa kutumia matakoAcha roho mbaya wewe mmachame.
Acha kufikiria kwa kutumia matakoAcha roho mbaya wewe mmachame.
Kingenuka aisee maana ule uhusiano ni noma kusengemkuu unataka useme ungekua nae hadi sasa vita ya tatu ya dunia ingekua imetokea
Haaaa mimi nilijua hamuumii kutokana na vitimbi vyenu ngoja nijaribu nione kama ataumia mmoja wenuKwani sisi hatuna moyo wa kuumia?
Mimi nuilijarb nkaumizwa nkaacha nilivyorudi nkaoa moja kwa moja sikutaka mseto tena nsijekufa bure mara maradhiu ya presha, BP, Kisurakari, kichumvi chumvi HIV Ukimwi, kisonono kaswende na wengineokwamba ulikua ulifaham hlo mkuu,au ndo uko katika sanaa yako
ukitaka uvikimbie ata kwa ndoa usimfatilie mkeoMimi nuilijarb nkaumizwa nkaacha nilivyorudi nkaoa moja kwa moja sikutaka mseto tena nsijekufa bure mara maradhiu ya presha, BP, Kisurakari, kichumvi chumvi HIV Ukimwi, kisonono kaswende na wengineo
ataupokea ujumbe wakoNimeshawahi kuwa na wanawake wengi baada yake na kuoa nishaoa...But this girl will always be in my mind.I remember her sometimes..15 YEARS since i last saw u,Nasikia upo Arusha nowdays.I wish a could wind the clock and scream to myself dont do that u Idiot!Too late.Wish you well J.
Yours,
C.
unataka uwezo gan mkuu.?Namtakia maisha marefu ningekuwa na uwezo ningehudhuria harusi yake kisha ningemzawadia zawadi kubwa mno....kwani alichonifanyia kimenipa funzo na sizani kama nitaruhusu msichana mwengine kunifanyia hivo.
Kwa sasa siwezi kufika alipo almost nikitumia laki kwaajili ya zawadi nitajutia hivyo bado kipato changu kidogo...nikiweza kumpa zawadi ya gari nahisi huo ndo uwezo mkubwa ninaou.maanisha mkuuunataka uwezo gan mkuu.?
Ok kumbe una YSina x
Umeeleweka mkuuKwa sasa siwezi kufika alipo almost nikitumia laki kwaajili ya zawadi nitajutia hivyo bado kipato changu kidogo...nikiweza kumpa zawadi ya gari nahisi huo ndo uwezo mkubwa ninaou.maanisha mkuu
acha uwoga mkuu,Kuna dada nilikutana nae kwenye gari, na nilikua Nakaa nae jirani. Kujisachi alisahau wallet mdogo yenye hela. Mara akaanza kucheka, konda aliendelea kukusanya kwa wengine, bibie nikamuelewa sababu majirani mtaa mmoja, nikampa kama elfu kumi.
Then, akanipa namba ya simu jioni, nikaifuate hela yake, nikaenda, kukuta anatoka kuoga na khanga, nikajikuta nimemgonga, kumbe alitoka kuachana na mmewe, sasa nikawa kama nimehamia kwake. Saa nyingine naamka saa kumi na moja, naenda kumgonga kisha tunaenda job. Akahamia eneo lingine nikaendelea, akahamia Kinondon kama kawa.
Akaja akapata Mimba ikatoka, huyu dada najua ananipenda, alikua anaenjoy sana sex, mpaka wenzie walinitafuta.
Nikaja kusikia ameolewa na tajiri mmoja Mbez Beach, majuz kaja home naambiwa gari ya kifahari nimegoma kutoka. Alichukia,
Lakn sirudi nyuma...naona ana majanga ndan ya ndoa anataka aniambie
Ndo wewe niniikwakweli nitakukumbuka daima
Hapana sikumtreat vibaya.... Nlikua namtreat kama mtoto yaanvp
we ulim-treat vibaya mkuu?
Hapana, kijana.acha uwoga mkuu,
Mkuu mbona J ndo peke yake una miss kwann??,Nimeshawahi kuwa na wanawake wengi baada yake na kuoa nishaoa...But this girl will always be in my mind.I remember her sometimes..15 YEARS since i last saw u,Nasikia upo Arusha nowdays.I wish a could wind the clock and scream to myself dont do that u Idiot!Too late.Wish you well J.
Yours,
C.