Neno la Shukrani

apumzike kwa amani.mama yetu mpendwa
 
Pole sana, na Mungu awajalie moyo wa uvumilivu katika kipindi hiki kigumu
 
Pole mkuu, pole rafiki, pole sana hivi ndio nasoma hii taarifa, muombee Sana mama
 
Afu msiba umekuja kipindi hiki cha sikukuu, pole sana bro... R.I.P mama yetu
 
Pole sana Mtani. Ila nafarijika sana ninapokuona una imani ya kutosha kbsa. Maisha ni kristo na kufa ni faida. Mungu akutangulie kk
 
Pole sana,nahili nalo litapita.Mungu wa nguvu
na huruma,akuhurumie na kukutia nguvu.
 
Pole sna mshana Mungu azidi kukutia nguvu kwenye hiki kipindi kigumu cha kumpoteza mama
 
Pole sana bro...sote tu wapitaji na hakika kwake tutarejea
 
Dah bibi yetu hope mmemaliza vema ndugu yako nilibanwa kdg ila mama alikuja pole sana kaka alikua mwali pia bibi yangu dah
 
Ooh pole kwa kuondokewa na mpendwa wako, Mola amrehemu, akupe faraja kipindi hili ulichonacho, hakika sisi kwake ni marejeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…