TTCL Customer Care
Official Account
- Aug 18, 2016
- 279
- 317
Rudisheni night packView attachment 1968463
Kwa wateja wetu wa nguvu.
Katika kusherehekea kuadhimisha wiki ya Huduma kwa Wateja, kaulimbiu ya mwaka huu ni Nguvu Ya Huduma.
Napenda kuwapongeza watoa huduma wenzangu wote wa TTCL. Pia kuwashukuru wateja wetu kwa kutuamini, na kuendelea kutumia huduma zetu.
Tunawathamini sana na kuwaahidi kuendelea kutoa huduma bora zaidi.
Mteja wetu, wewe ndiye nguvu yetu.
-Wendlyne Mbagga,
Meneja Huduma kwa Wateja.
08 Oktoba 2021
Habari yako Mr. victor moshiHuu mtandao haujachangamka kabsaa
Safi sana ttcl leo mmenifurahisha kwa kasi ya ajabu ya internet na bei zenu nzuri za vifurushiView attachment 1968463
Kwa wateja wetu wa nguvu.
Katika kusherehekea kuadhimisha wiki ya Huduma kwa Wateja, kaulimbiu ya mwaka huu ni Nguvu Ya Huduma.
Napenda kuwapongeza watoa huduma wenzangu wote wa TTCL. Pia kuwashukuru wateja wetu kwa kutuamini, na kuendelea kutumia huduma zetu.
Tunawathamini sana na kuwaahidi kuendelea kutoa huduma bora zaidi.
Mteja wetu, wewe ndiye nguvu yetu.
-Wendlyne Mbagga,
Meneja Huduma kwa Wateja.
08 Oktoba 2021
Matatizo ni Mengi sana juu yenu. Sijui Tuanzie wapi. Ila kwa sasa habari ya mjini ni Mb's wekeni mb za kutosha Kwenye vifurushi vyenu pia Rudisheni night pack.Habari yako Mr. victor moshi
Tunaomba kufahamu unapata tatizo lipi pindi utumiapo huduma zetu ili tukupatie msaada zaidi.
Karibu sana
Wajinga, mmemuweka huyu mrembo mkidhani tutajisahau tuache kuwalaumu kwa kazi ya hovyo mnayofanya!!! Moto ni uleule TTCL hamfai huduma zenu mbaya hakuna wa kufananishaView attachment 1968463
Kwa wateja wetu wa nguvu.
Katika kusherehekea kuadhimisha wiki ya Huduma kwa Wateja, kaulimbiu ya mwaka huu ni Nguvu Ya Huduma.
Napenda kuwapongeza watoa huduma wenzangu wote wa TTCL. Pia kuwashukuru wateja wetu kwa kutuamini, na kuendelea kutumia huduma zetu.
Tunawathamini sana na kuwaahidi kuendelea kutoa huduma bora zaidi.
Mteja wetu, wewe ndiye nguvu yetu.
-Wendlyne Mbagga,
Meneja Huduma kwa Wateja.
08 Oktoba 2021
Misss ChugaMatatizo ni Mengi sana juu yenu. Sijui Tuanzie wapi. Ila kwa sasa habari ya mjini ni Mb's wekeni mb za kutosha Kwenye vifurushi vyenu pia Rudisheni night pack.
Afisa masoko wenu sijui anafanya kazi gani hivi awaoni mitandao wengine wanavyofanya kazi? Ubunifu sifuri
Hizo mb nyingi wanazotoa ziko wapiYani nyie mnatoa MB nyingi ila Internet mteja atajijua atakapo itafuta