TTCL Customer Care
Official Account
- Aug 18, 2016
- 279
- 317
Kwa wateja wetu wa nguvu.
Katika kusherehekea kuadhimisha wiki ya Huduma kwa Wateja, kaulimbiu ya mwaka huu ni Nguvu Ya Huduma.
Napenda kuwapongeza watoa huduma wenzangu wote wa TTCL. Pia kuwashukuru wateja wetu kwa kutuamini, na kuendelea kutumia huduma zetu.
Tunawathamini sana na kuwaahidi kuendelea kutoa huduma bora zaidi.
Mteja wetu, wewe ndiye nguvu yetu.
-Wendlyne Mbagga,
Meneja Huduma kwa Wateja.
08 Oktoba 2021