Neno la leo: The Perfect Guy

nimependa location yako..
 
Hahaha...nipo soulmate wako Mbu ameamua kukuficha mazima, well nafikiri neno perfect litumike kwa jambo fulani au kwa matumizi fulani since hakuna aliye perfect ni vizuri labda tukitumia neno "Being Yourself"
 
Last edited by a moderator:
ni yule afanyae haya.........

1)hata akipigiwa haulizi wala kulipiza!
2) hula miogo ili mpenzi wake ale chips kuku
3) hufanya chochote including kupumuliwa kisogoni ili mradi dem wake asipate shida!

hiyo namba tatu umetumia ubongo upi kufikiria?
 
exactly, ukimsoma rafiki Fixed Point na dada yake Kaunga u get the drift MwanajamiiOne, ni kujitia upofu tu kutaka kutiki vibox vyote
 
Last edited by a moderator:

Am here . . . . . .lol!

Mzima lakini mama?
 
Hahaha...nipo soulmate wako Mbu ameamua kukuficha mazima, well nafikiri neno perfect litumike kwa jambo fulani au kwa matumizi fulani since hakuna aliye perfect ni vizuri labda tukitumia neno "Being Yourself"

Hahaha kufichwa muhimu sometimes ujue. Hivi kwani hiyo definition ya perfect ya Kaizer ni given? What if mie nigeuze hivyo alivyosema niviweke kinyume kasha niidefine kama ndio perfect yangu?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…