Neno la leo: The Perfect Guy

Binadamu tuna tabia ya kusahau......
Trust me my dear friend...... wengi wanao-demand a perfect guy they are worse......
Dunia ndio hii, we are all not perfect, of course you can make a perfect moment but not a person
Rogie na Mlanje please note....

Halafu, eti Fixed Point mbona sioni mabinti wa humu kwen hii sredi? Yaani hekima zote hizi kweli hawazioni kutoka kwa dada yao mkubwa Fixed Point? amu kachungulia huyooooo......kachapa lapa... hawa wengine sijui wana makengeza?

nimeinote with concern maana mabazazi na vibazazi wote wapo hapa.......
 
Last edited by a moderator:
Word....

Ndiyo maana huwa tunawashangaa watu kwa kutothamini vyao hadi viwaponyoke....

Ila naamini mdau anakaba hadi penalt!!
kukaba hakusaidii...... believe me......
tena kadiri unavyokaba ndo unakuwa kero na kufanya mkabwaji atafute mbinu zaidi........
ukiona upo na mtu mzima, ongea naye kiutu uzima, if you mean anything to him/her, atakusikiliza
 

Mkuu,we are all not perfect but trust me kuna watu ni "Perfect"
 
Yeah kaka,nashukuru Mungu nilijitambua katika umri mdogo kwakweli.

Rogie ni vyema sana kama ulijitambua na kuishi maisha hayo hayo bila kukengeuka na haya ya hii dunia
Kuna watu wakikupa cv zao za mahusiano unaweza kujiona wewe sijui unaishi sayari ya Mars maana ni balaa
 
Last edited by a moderator:
Bahati yako hujaniita umbuje,
mi ngoja niendelee kusubiri subiri kidogo,soon wata exist.

tena Ennie ujue nimekuona sehem sehem nikajua wewe wa nyumbani utakuja tu huhitaji mluzi lol....
 
Last edited by a moderator:

Hahaha mashori wamesepa.... wao wanataka wasikie six packs, gym, magari na wallet. Baaaas.
 
Last edited by a moderator:
ha haaaa, natamani kusema saaanaaaa but ngoja ni shut up!
kama kila mtu angekuwa hata robo ya mtu fulani (natamani sana nimtaje), hakika hali ingekuwa nzuri sana....... Much respect to him (from the bottom of my heart)
 
Mkuu,we are all not perfect but trust me kuna watu ni "Perfect"

mimi nimeangalia hii signature yako, nikaipenda,.....ina ujumbe mzito sana kijana wangu

"One day your eyes will open and your mind will learn,with pain and laughter,you will know what you are."
 
ha haaaa, natamani kusema saaanaaaa but ngoja ni shut up!
kama kila mtu angekuwa hata robo ya mtu fulani (natamani sana nimtaje), hakika hali ingekuwa nzuri sana....... Much respect to him (from the bottom of my heart)
Fixed Point ungemsema tuu na yeye ajisikie kuwa anatimiza kile kinachotakiwa
 
Last edited by a moderator:
Umeona eeh. He is perfect to you lkn anaweza asiwe kwa Joyce.
Lakinj mimi napenda kutumia zaidi Right Guy kuliko perfect. Perfection iko kwa Mungu tu.
ha haaa, hapo rafiki niliiacha ina-hang kwa makusudi.......
nisome saaaanaaaa kwenye post zinazofuatia......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…