Tukikwepa kuzungumzia dhuluma kwa kutumia neno amani kama kichaka cha kuhalalisha uonevu basi kamwe hiyo amani mnayotudoboshia nayo hatutaipata.............lakini penye dhuluma usifikiri Mwenyezi Mungu kwa kukaa kimya ameafiki kama Kardinali Pengo anavyojipotosha..........................[FONT="]Na hapa tena nina nyongeza nyingine ya neno. Hakika, ni busara na hekima, kwa mwanadamu kutambua na kuheshimu mamlaka iliyopo na zaidi, inayotokana na watu. Kutambua na kuheshimu mamlaka inayotokana na sheria, kanuni na taratibu za mahali husika, hivyo basi, mamlaka inayotokana na Katiba ya wakati huo. Na mwanadamu huyo, midhari amefanya mawili hayo, hana lazima ya kufanya jambo la tatu; kuyaenzi mamlaka hayo. [/FONT]
Kings Of Kings,
Ahsante,
Hilo ndilo neno la leo. Na hiyo ndio style yangu ya kuwasilisha ujumbe. Hayo mengine ni mawazo yako. Ni haki yako kuyatoa.
Tukikwepa kuzungumzia dhuluma kwa kutumia neno amani kama kichaka cha kuhalalisha uonevu basi kamwe hiyo amani mnayotudoboshia nayo hatutaipata.............lakini penye dhuluma usifikiri Mwenyezi Mungu kwa kukaa kimya ameafiki kama Kardinali Pengo anavyojipotosha..........................
Soma PSALMS 50:21"These things you have done I kept silent, and you thought I was altogether like you, but I will rebuke you and set them in order before your eyes."
Viongozi wengi wa dini hivi sasa ni wabinafsi na wanatanguliza masilahi yao.........hivi Askofu Mkuu Kilaini aliongea lini na Mwenyezi Mungu akamwambia JK ni chaguo la Mungu kama siyo utapeli kwa kumdhihaki Mwenyezi Mungu.................Hivi chaguo la Mungu litajihusisha na ufisadi kweli na kuchakachua matokeo ya kura?
Na ndiyo maana Yesu Kristu kwenye utukufu wake alijua hata makanisa yataingiliwa na matapeli na alionya yafuatayo:-
Mathew 7: 21 "Not everyone who says to Me, "LORD, LORD.." shall enter the kingdom of heaven, but he who does the word of My Father in heaven."
Hakuna kwenye maandiko matakatifu ambapo Mwenyezi Mungu amehalalisha dhuluma kama Kardinali Pengo anavyojaribu kufanya........................mtoa haki ni Mwenyezi Mungu na kwenye hili atatenda haki na sote tutabaki vinywa wazi.................
( Ni Sehemu ya makala yangu ya Raia Mwema ikichapwa kesho Jumatano)

maggid analinajisi gazeti la raia mwema si apelekwe rai mi makala zake huwa sizielewielewi kama za johnkibaso hawa watu wanataka kujichanganya na wenye uchungu na nchi kumbe ni vibaraka wa ccmhivi kumbe kila kiumbe anaweza andikia raia mwema akijitahidi eeh! I am stunned.
Na hapa tena nina nyongeza nyingine ya neno. Hakika, ni busara na hekima, kwa mwanadamu kutambua na kuheshimu mamlaka iliyopo na zaidi, inayotokana na watu. Kutambua na kuheshimu mamlaka inayotokana na sheria, kanuni na taratibu za mahali husika, hivyo basi, mamlaka inayotokana na Katiba ya wakati huo. Na mwanadamu huyo, midhari amefanya mawili hayo, hana lazima ya kufanya jambo la tatu; kuyaenzi mamlaka hayo.
Matokea yalitona na mizengwe, mabomu ya machozi na uchakachuaji mwingine hayawezi kuwa na idhini ya mungu, labda kama Mungu wa hapo Mwembe Tongwa anyebariki dhuruma. Majina ya watu kibao yameondolewa kwenye daftari ili wasipige kura, Matokeo yamechukuwa muda mrefu kutangazwa, kisingizio computer. Mwogopeni Mungu, Msimhusishe na uchafu wa kifisadi.Na Maggid Mjengwa,
" SIO kila mmoja ataridhishwa na matokeo, isipokuwa, jambo la msingi ni kulinda lengo kuu ambalo ni amani ya taifa". Hiyo ni kauli ya Askofu Mkuu Jimbo Kuu la Dar es Slaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo alipozungumza kwenye kipindi cha ujumbe wa Askofu Pengo kilichorushwa na Redio Tumaini na kuripotiwa na gazeti la Mwananchi, Ijumaa, Novemba 5, 2010.
Kwa ye yote mwenye kuitakia mema nchi yetu, basi, atakubali, kuwa, kauli ya Mwadhama Kardinali Pengo ni kauli iliyojaa busara na hekima nyingi. Ni ya kuungwa mkono. Na hapa nina nyongeza ya neno, maana, Kardinali Pengo amenukuliwa pia akitamka; kuwa mataifa mengi ulimwenguni yamejikuta yakitumbukia katika maafa kutokana na kutoridhishwa na matokeo ya uchaguzi. Askofu Pengo akawataka viongozi wa vyama na jamii wasichukue hatua zinazoweza kuliangamiza taifa. Akatamka;
" Mungu atujalie moyo wa kupokea matokeo yalivyo na hata tusiporidhika tujipe moyo ili tusije tumbukia katika maafa ambayo yatachukua muda mrefu kuondoka". ( Mwadhama Kardinali Polycarp Pengo, Mwananchi, Novemba 5, 2010)
Na hapa tena nina nyongeza nyingine ya neno. Hakika, ni busara na hekima, kwa mwanadamu kutambua na kuheshimu mamlaka iliyopo na zaidi, inayotokana na watu. Kutambua na kuheshimu mamlaka inayotokana na sheria, kanuni na taratibu za mahali husika, hivyo basi, mamlaka inayotokana na Katiba ya wakati huo. Na mwanadamu huyo, midhari amefanya mawili hayo, hana lazima ya kufanya jambo la tatu; kuyaenzi mamlaka hayo.
[FONT="[COLOR=red]]Yawezekana kabisa, kuwa katika kuyapata mamlaka hayo kukawa na mapungufu ya sheria, kanuni na taratibu[/COLOR]. Lakini, hayo yasipewe nafasi ya kufanya mchakato wa kisiasa katika jamii ukakwama. Maana, siasa ina maana ya majadiliano endelevu. Ni majadiliano yasiyo koma. Muhimu katika siasa ni kubaki katika meza ya majadiliano.
[/FONT]
Na hilo ni Neno La Leo.
Maggid
Iringa, Novemba 9
mjengwa