sawa mzee mama umesomekaHaivutii
chattle lazima,si unakua saivi wanaenda jela sana kwa kuuwana kwa ajili ya wivu wa mapenzi.ilo neno ni ingizo jipya tu huko Chattle.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Hmm! Sijaelewa kitu, nimeishia kutamani ninachokiona kwenye Avatar yako tu...
Sasa Mzee kaka umejiongezasawa mzee mama umesomeka
Umeona eh?...Mods hebufanyeni mpango Kuwe na jukwaa la wahuni humu.
Hahaaaa,,,,sio kolomije??ilo neno ni ingizo jipya tu huko Chattle.
Hmm! Sijaelewa kitu, nimeishia kutamani ninachokiona kwenye Avatar yako tu...
wote ni wale-waleHahaaaa,,,,sio kolomije??
Kama ambavyo inajulikana manenk mengi ya kitaa huanzia jela.. Inasemekana jela ndiyo kuna masela wengi na maneno mengi ya kihuni huanzia huko.
Ingizo jipya mwaka huu ni neno'mzee baba"hili lina maana ya mchizi wangu...msela,Mwana..kachala..na mengine yafananyo na hayo..kwa mfano unaweza kumwita jamaa yako ..oya mzee baba hebu njoo Mara moja.
Ikutoshe tu kwa hayo.
We unafirigiswa??si ungepost..au tumbo la blid linakusumbuaa..maana .Nasikia Una blidi kokwa za embe badala ya damu..