Kinuju
JF-Expert Member
- Mar 20, 2021
- 2,390
- 5,310
Sijawahi kuona Slogan iliyokufa kifo cha mende haraka kama hii , hivi hawa mataga hawakuamini kwenye msemo huu , au ndio ile kauli ya ASIYEKUWEPO NA LAKE HALIPO ?
Onyo : Usithubutu kuwaamini wapambe , na hasa wakiwa wachumia tumbo
Alafu kuna wajinga watatu Assad. Lema na Lisu wanatokwa povu kutuaminisha kwamba Magufuli alikuwa zero tu.
Hata mabeberu yanayowalea Ulaya yamewakana sasa.
Umoja wa mataifa wasimama kumlilia hayati rais Magufuli.