Neno gani la "kibongo" linakupiga chenga??

Makinikia - Hilo neno utalipata likitumiwa na wabongo sana wanapohoji mikataba ya madini Tz. Utapata neno hilo linatumika kama verb (kitendo) na pia kama noun (nomino)
Utamsikia mTz akisema:
"Mnafurahi Jiwe amevunja mikataba ya Accacia, MAKINIKIA mikataba mipya atakayo saini ndio mtajuta"
Tena utasikia:
"Accacia wamekuwa wakisafirisha MAKINIKIA bila uwazi, wana mjuta Jiwe sana"
 
Watanzania au Wacomoro?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wakazi wa kwenu huko Mombasa, kuna mmoja alikuwa anazungumza katikati ya mazungumzo akasema "Yule ni mnono sana" nikabaki hee! Huyu si anamzungumzia mwanaume mwenzake! Baadae kuelewa kumbe alikuwa ana maanisha ni mnene(bonge).
Hahah

Pia wanapenda kuita bibi au bwana yake wakimaanisha mume au mke wake.

Au mtu wa kando yaani hawara au mchepuko wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dingo/Pinji - kibaka
Sanya - iba
Peremba/Perembwa - kaba/kabwa
Keja - ghetto/nyumba
Toka teke - kimbia haraka
Buda - baba
Tao - mjini
Lolo - penis

Mathe - mama
Masai - shillingi mia
Githeri pia inaitwa odhero
Mob - nyingi/wengi
Oshago - kijijini
Dinya - gegeda

Baro - barabara
Lembe - mbele

Yapo mengi nikikumbuka ntaweka
 
Hii kitu sini sheng ya Nai!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…