Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,464
Makinikia - Hilo neno utalipata likitumiwa na wabongo sana wanapohoji mikataba ya madini Tz. Utapata neno hilo linatumika kama verb (kitendo) na pia kama noun (nomino)
Utamsikia mTz akisema:
"Mnafurahi Jiwe amevunja mikataba ya Accacia, MAKINIKIA mikataba mipya atakayo saini ndio mtajuta"
Tena utasikia:
"Accacia wamekuwa wakisafirisha MAKINIKIA bila uwazi, wana mjuta Jiwe sana"