Ewaaa
Kwahiyo kumbe ben10 ni smart911.Kwa mara ya kwanza hilo neno nililisikia kwa mtu mmoja humu akimwita Smart911 kiben 10
Ndo nn hiyo preta?Unajua kufanya pedicure.........?......
Katuni ya ben10Siku hizi kuna hili neno ki benten ambalo kijana mdogo aki date na mwanamke mwenye umri mkubwa anaitwa ki benten .. sijajua origin yake n wapi na kwann watu waite ki benten kwann isiwe ki bennine au ki bentwo.. limetokea wapi hili neno...? Nini asili yake.. maana haliko kwenye kamusi yoyote.... ki benten.
Ooh kumbeBen10 ni kijana mdogo (Cartoon) anayepambana na vitu vikubwa mfano wa majini/mashetani kwa kutumia ujasiri na uwezo wake...
Hajawahi kupoteza pambano...
Kaka tena! Mbona watuchanganya?Smart911 Kwangu ni kaka mkubwa ndomana huwa namrukia rukia kama katoto ka Nyani
Hapana huyo hawezi kuwa kama kaka wala baba. Hakuna replacement ya ndugu wa dam au mzazi kwenye mapenzi. Nathan unaelewa. Labda kama unakua ushamchoka mwenza ndo unaweza kumwambia unamuona kama kaka, mama, baba nk.
kwann wamtumiee yeyeBenten limetokana na maneno haya
BEN kinyaiya wa Chanel TEN
so wakafupisha BENTEN .
Weee nawezaje kumchoka Smart911 mkuu nitake radhi.... Mtu huwa anachoka raha??Hapana huyo hawezi kuwa kama kaka wala baba. Hakuna replacement ya ndugu wa dam au mzazi kwenye mapenzi. Nathan unaelewa. Labda kama unakua ushamchoka mwenza ndo unaweza kumwambia unamuona kama kaka, mama, baba nk.
Haina haja ya kujielezea chochote...
Hapana mkuu hapa nimeongea jeneral ama kwa ujumla wake na kwa MTU yoyote. Usimwekee kama kaka huyo ni zaidi ya kaka...Weee nawezaje kumchoka Smart911 mkuu nitake radhi.... Mtu huwa anachoka raha??
Sawa Nimekuelewa love..Haina haja ya kujielezea chochote...
Unajielezea kwangu tu basii...
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapana mkuu hapa nimeongea jeneral ama kwa ujumla wake na kwa MTU yoyote. Usimwekee kama kaka huyo ni zaidi ya kaka...
[emoji120]Sawa Nimekuelewa love..
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]