Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,250
- 100,935
- Thread starter
- #21
Hujui bao??
hata mie namshangaa eti hajui Bao
Hujui bao??
Leo nimepiga bao 4!mechi ilikuwa kali sana!
Unaonekana ulivyo dhaifu, bao zinapigwa mbili tu lakini za haja
Unashangaa neno moja maana kibao.....!!?? Kuna kitu kimoja majina kibao inategemea tu kipo wapi ili kiitwe jina gani........ NYWELE...... zikiwa kichwani NYWELE, kidevuni Ndevu, mashavuni sharubu, puani mustachi, kwapani ...... deshideshi, kinenani deshideshi, deshideshi deshideshi..........Neno..kupiga/kuwapiga/kumpiga bao
A. kuwapiga bao = kuwafunga au kuwazidi ujanja
B. kupiga bao = kufunga kwenye mechi ya mpira
C. kumpiga bao = kumpiga mtu kofi
NENO moja ...maana kibao!!!
Inategemea na aina ya bao............... BAO LA MATRAFIKI SIYOutamu wa mechi bao.
Inategemea na aina ya bao............... BAO LA MATRAFIKI SIYO
Unaonekana ulivyo dhaifu, bao zinapigwa mbili tu lakini za haja
Inaonyesha hujui kukata chenge........... bao lichukuwe dakika 40............ kama ni mkata chenga mzuri bao linachukuwa dakika 10 hadi 20................Nilikuwa natafuta bao la pili ilichukua zaidi ya dakika 40 kulipata
Mbili hazitoshi,hizo ni zile za fasta,ni zile za kuchana nyavu!raha ya mechi mabao bana!piga mabao mengi,hapo utaheshimika.
Siyo uwingi tu, na uzito wa bao nao una heshima yake.................. we mtu uhangaikeeeeee halafu uje utoe povu na upepo halafu ujisikie heshima, kisa umeto mapovu sita unadhani ni heshimaMbili hazitoshi,hizo ni zile za fasta,ni zile za kuchana nyavu!raha ya mechi mabao bana!piga mabao mengi,hapo utaheshimika.
Siyo uwingi tu, na uzito wa bao nao una heshima yake.................. we mtu uhangaikeeeeee halafu uje utoe povu na upepo halafu ujisikie heshima, kisa umeto mapovu sita unadhani ni heshima
Magoli mengine yanaraha sana ukitia kichwa tu bao.