Nendeni jukwaa la siasa

Nendeni jukwaa la siasa

measkron

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
3,782
Reaction score
2,420
Nimepost kule jamani nendeni mkachangie ila angalieni msije mkala ban manake kule Bishanga alienda akapewa za uso, za pua, hakurudi tena, hilo jukwaa kiti moto sirudi huko tena, Thread inasema... Kwa nini Madaktari wapuuzwe?...
 
Last edited by a moderator:
Unajua madaktari hawa puuzwi, ila tatizo lao ni bendera hawana msimamo wala ushilikiano, pia ndani ya madaktari wapo wanao kula maisha na wanaoliwa maisha, tatizo wale wanao kula maisha ndio wasaliti wakubwa. Note kwanini? Kopy this post then peleka kwa jukwaa la siasa huko mie sifiki, mchana niliweka uzi wangu wa maswala ya Tanzania, Gas na Madini si uoni cjui wame uchanganya

Unajua tz tuna madaktari wengi ndio maana serikali inaleta nyodo, maana kuanzia Rais ni dokta, makamu wa rais dokta chezea tz wewe. Jamani MD ni watu muhimu sema serikali yetu wengi wao wanajali matumbo yao na awaangalii umuhimu wa tasnia zingine kama wataalam wa sociology, counceling and guidance, fine art, waalimu, Ma enginia,
 
Ngoja nikachungulie,miguu inatetemeka lakini.
 
shosti kule uwe unaenda na mlinzi mmasai maana usipodunda utadundwa.
 
mikono yenyewe laini hivyo!! manicure kila siku utaweza hata kukunja ngumi wewe???

khaaa we hadi leo mumeo anatumia ngumi, kwanza hauna mume wewe maana unahaha tu hapa kama pira la bowling...wenzio tunatumia mguu wa kuku, dakika sifuri natawanya medulla oblongata ya mtu...
 
Nimepost kule jamani nendeni mkachangie ila angalieni msije mkala ban manake kule Bishanga alienda akapewa za uso, za pua, hakurudi tena, hilo jukwaa kiti moto sirudi huko tena, Thread inasema... Kwa nini Madaktari wapuuzwe?...

Mummy bado nakupenda sana... Sihitaji ban :becky: :becky:
 
Last edited by a moderator:
khaaa we hadi leo mumeo anatumia ngumi, kwanza hauna mume wewe maana unahaha tu hapa kama pira la bowling...wenzio tunatumia mguu wa kuku, dakika sifuri natawanya medulla oblongata ya mtu...

Umenikumbusha habari ya kitu chenye ncha kali.....!
 
baada ya kugundua kina pou ung'eng'e haupandi,nimekwenda huko nikamwaga kimombo,nasikia wanatafuta mkalimani King'asti can yu help?
 
Last edited by a moderator:
Unajua madaktari hawa puuzwi, ila tatizo lao ni bendera hawana msimamo wala ushilikiano, pia ndani ya madaktari wapo wanao kula maisha na wanaoliwa maisha, tatizo wale wanao kula maisha ndio wasaliti wakubwa. Note kwanini? Kopy this post then peleka kwa jukwaa la siasa huko mie sifiki, mchana niliweka uzi wangu wa maswala ya Tanzania, Gas na Madini si uoni cjui wame uchanganya

naona unazipigia promo thread zako zipate watu poleee
 
baada ya kugundua kina pou ung'eng'e haupandi,nimekwenda huko nikamwaga kimombo,nasikia wanatafuta mkalimani King'asti can yu help?

Ha ha haaaa! Nimetoka nduki huko siendi tena... Lol
 
Last edited by a moderator:
Nimepost kule jamani nendeni mkachangie ila angalieni msije mkala ban manake kule Bishanga alienda akapewa za uso, za pua, hakurudi tena, hilo jukwaa kiti moto sirudi huko tena, Thread inasema... Kwa nini Madaktari wapuuzwe?...

nimeisoma lkn nimehofu kukomenti kwasabu ni juzi tu nimetoka kwenye server
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom